GE2025 CHADEMA imeaminisha watu kuwa Act-Wazalendo ni CCM 'B'

GE2025 CHADEMA imeaminisha watu kuwa Act-Wazalendo ni CCM 'B'

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Akizungumza na kituo cha redio cha East Afrika leo Agosti 18, 2025, Isihaka Mchinjita, Makamu Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo Bara, amesema kuwa CHADEMA imefanya kazi kubwa sana katika kujaribu kuuaminisha umma kuwa ACT ni CCM ‘B’ jambo analosema si la kweli bali ni propaganda ya kisiasa.

Chanzo: East Afrika Redio​
 
Kwani kada kindakindaki wankijani HP alisemaje
 
chakushangaza wakati huo huo utawakuta Chadema wanalalamika kwanini ACT hawajawaunga mkono kwenye misimamo yao.
 
Akizungumza na kituo cha redio cha East Afrika leo Agosti 18, 2025, Isihaka Mchinjita, Makamu Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo Bara, amesema kuwa CHADEMA imefanya kazi kubwa sana katika kujaribu kuuaminisha umma kuwa ACT ni CCM ‘B’ jambo analosema si la kweli bali ni propaganda ya kisiasa.
View attachment 3444937
Chanzo: East Afrika Redio​
Mbona chauma ni TISS PROJECT
 
NI lini Zitto Kabwe akawa Mpinzani - yule ni ntu wa diliii....kataaa njombaaa.
 
Ndugu Polepole aliyewahi kuwa Mwenezi wa Ccm kaongea kitu kuhusu ACT.
 
Back
Top Bottom