Josh Michael
JF-Expert Member
- Jun 12, 2009
- 2,523
- 87
- Thread starter
- #21
Kwa namna yoyote ile kama wanapaswa CCM kuwa imara ni Kuimarisha Upinzania na CCM watakuwa imara , lakini vile vile kama Upinzani ni dhaifu basi hata serikali ni dhaifu pia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaweza pia kupata wanachama wengi na support zaidi kwa kutumia Facebook na mitandao mingine. Huko, wanaweza kuelezea mambo mengi zaidi na kwa watu wengi zaidi kuhusiana na chama hicho. Wanaweza pia kujenga uhusiano wa karibu na watanzania wanaoitakia mema kwa kujitambulisha kwa ufasaha na kujibu maswali ya watu wanaotaka kuwajua