njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Kama "signature" inayosemekana ni ya mnyika ilifanikisha kumtoa mwanadada aliyekaa jela siku 120 kesho yake akaapishwa kwenye gereji na wenzake 18 kuwa wabunge hii itashindikanaje
Covid 19 wanatamba wana kebehi majaji wanashikwa na kigugumizi wafate sheria au maagizo toka juu kwenye jikesi lao ambalo ingekuwa kenya lingemuliwa kwa dakika tisa na nusu
ila hapa wataalamu wa political science watalivuta hadi 2025 ili mzee mdee na mabinti zake wafaidi tozo za wanuka jasho
Sasa msishangae wakaibuka watu kugombea huo ubunge wa east africa kwa tiketi ya chadema na wakashinda tena signature ya mnyika ikawepo
Msishangae kabisa