CHADEMA imekosea kujitoa mazungumzo na CCM. Tujifunze hapa

Chadema faida ndogo wangaliipata ingaliwasaidia sana. Hakuna mtawala atakupa yote unayotaka
Wala hawakutaka vyote ila CCM nndiyo walikataa vyote moja kubwa wallilo liomba ni minmam reform ili ipatikane tume huru,, hili walilikataa Lote CDM hawakuwa na nguvu yoyote ktk maongezi ya muafaka kwakuwa kwanza viongozi wake wengi walikuwa wamengikimbia nchi.Mamia ya wanachama wake walikuwa mahabusu navmagerezani kwahiyo wasingefika muafaka wowote kwanza bila hao kuachiliwa .Hao walipoachiliwa na viongozi waliokimbia nchi kurudi .CCM wakaona kuwa tayari muafaka umepatikana bila kutibu sababu ya kufikia hali hiyo na kukataa kuendelea na mazungumzo mengine.Ok yote kwa yote CDM inaweza ikatengenezewa mizengwe ikafa au ikazorota au kufutwa ila hiyo ndiyo itakuwa muafaka kwa nchi ,kuua CDM kusiwepo na Chama cha upinzani chenye ,, nguvu je ndiyo watanzania wataipenda ccm na kuiamini? CCM inadhani itakapo baki peke yake na vyama vingine vyote vitakapo kuwa vibaraka wake ndipo kitaendesha nchi kwa ufanisi.hiyo siyo kweli.
 
Sasa unataka utumie njia gani? Huna hata kisu cha kujihami
Njia ni tatu tuu:-
1. Kuwaacha tu wao wanao jiona wana haki waendelee bila bugudha hadi watakapo fitiniana na kuanza kutafunana wenyewe kwa wenyewe.

2. Kutumia nguvu ya umma (gumu kiasi kwa aina ya wananchi wetu ) ingawa kwa akili za usimba na uyanga Si rahisi sana mana wajinga wengi sana nchi hii nadhani kuliko nchi nyingine yeyote.

3. Hii ya tatu siwezi kuisema maana ina madhara makubwa sana ingawa ndiyo inayo hitajika kwa hali iliyopo sasa na kama itazidi hapa.
 
Kwa hivyo Mbowe katudanganya?
 
Zishafeli zote hata kabla hujazifikiria
 
Kwani ccm haiwezi kufanya mema na kutenda haki hadi mazungumzo ?..nikisema muislamu yoyote hana akili wewe unasema mimi ni mdini ...kwanini ccm wasifanye mazungumzo na vyama vingine bila ya chadema kama ni hivyo ? Kinacho takwa si haki na mema tu .
 
Kwa hivyo Mbowe katudanganya?
Mbowe hajadanganya kwa sababu baada ya Chama kukaa pamoja walifikia maamuzi ya jinsi ya kuendesha mazungumzo ya muafaka wakaamua kuwaandkia CCM kwa maandishi mambo muhimu ambayo wanapaswa kuyazungumza kwenye muafaka.kwa sababu mwanzoni walikuwa wanakwenda bila maandishi yoyote wanakutana wanaongea wanaondoka ,siku nyingine wanakutana wanaongea wanaondoka ndipo wenzake wakamwambia kwa utaratibu huu hatatafika popote kama wameridhia tukae tuzungumze tuweke kwenye maandishi vipaumbele vyetu ila kulikuwa na wakati mwingine Mbowe alikuwa anakwenda yeye kama yeye kuongea na Mama nakumueleza mapendekezo yao kabla ya vikao rasmi ,hapo ndipo utata ulipoanzia kwasababu alikuwa kuna vitu ambavyo tayari walikuwa wamekubaliana wao kama wao na kuna vitu chama kama chama kilikuwa kinataka hapo ndipo palipo vuruga muafaka.Na mambo ya kulamba asali yakaanzia hapo.
 
Maneno ya busara sana hakika. Swali ni muafaka upi ambao umeweza kufikiwa kati ya CCM na CHADEMA ambao sasa unasema CHADEMA wamejitoa? Au unazungumzia mchakato wa maridhiano ambao CHADEMA wandai wamejitoa baada ya kuona hakunar dhamira ya kweli kwa upande wa CCM?

ANGALIZO: Mimi siyo mwanachama wa chama chochote cha siasa bali ni raia Mzalendo ninayependa kuona haki, amani na maendeleo vikitamalaki katika nchi yangu.
 
Haya yote chadema yanawakuta kutokana kukimbia muafaka
Yani chama cha siasa kikakipigiye magoti chama cha siasa,jambo muhimu malalamiko na marekebisho ya sheria inatakiwa yawasilishwe serikaloni mahala husika si kwenye chama cha siasa.Kufanya hivyo ni kutojitambuwa na kujipendekeza.
 
Kwani ccm haiwezi kufanya mema na kutenda haki hadi mazungumzo ?..nikisema muislamu yoyote hana akili wewe unasema mimi ni mdini ...kwanini ccm wasifanye mazungumzo na vyama vingine bila ya chadema kama ni hivyo ? Kinacho takwa si haki na mema tu .
Mkuu uko sahihi ila hapo kwenye bold umekosea sana.
 
Mbona hawafanyi CHADEMA hawafanyi mazungumzo na ACT wazalendo au nccr ?
 
Kwani ccm haiwezi kufanya mema na kutenda haki hadi mazungumzo ?..nikisema muislamu yoyote hana akili wewe unasema mimi ni mdini ...kwanini ccm wasifanye mazungumzo na vyama vingine bila ya chadema kama ni hivyo ? Kinacho takwa si haki na mema tu .
l
Muislam anaakili kuliko wewe mkiristo , muislam hakubali kuonewa atapambana tu mpaka haki yake aipate.
 
Mkuu uko sahihi ila hapo kwenye bold umekosea sana.
Nipo sahihi uislamu kamwe auwezi kuwa dini ya kweli ya mungu ...ili kujua ilo ni kutumia akili tu ya kujua mema na mabaya utajua kuwa mtu awezi kuwa muislamu na kuwa na akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…