CHADEMA imekosea kujitoa mazungumzo na CCM. Tujifunze hapa

CHADEMA imekosea kujitoa mazungumzo na CCM. Tujifunze hapa

Nipo sahihi uislamu kamwe auwezi kuwa dini ya kweli ya mungu ...ili kujua ilo ni kutumia akili tu ya kujua mema na mabaya utajua kuwa mtu awezi kuwa muislamu na kuwa na akili.
Inshallah. Lkn muislam licha kuwa hana akili ndio aliongoza mapambano wa kumuondoa mkoloni wakati mababu zako wanalala na kusinda kwenye matapu tapu ya pombe
 
Muafaka wa uongo? kudanganywa kuwepo maridhiano wakati misingi ya maridhiano ni maneno bila utekelezaji? Muafaka wa wanachama kutekwa na wasiojulikana. Muafaka wa namna hiyo ndio unaoutafsiri?
 
Inshallah. Lkn muislam licha kuwa hana akili ndio aliongoza mapambano wa kumuondoa mkoloni wakati mababu zako wanalala na kusinda kwenye matapu tapu ya pombe
Huo ni uongo hakuna muislamu aliye pambana kumwondoa mkoloni tanzania niulize mimi waislamu ni vibaraka wa waarabu na mabeberu ya kizungu...ndiyo maana nyerere alipo ungana nao nguvu ya kupata uhuru ndiyo ikaanza nitajie muislamu aliye pigania uhuru tz hata mmoja sirihasi ....wale waliokuwepo walikuwa bosheni tu hadi nyerere alipo kuja kwa dhati ....labda ujui tabia za waislamu ni kutokuwa siriasi na mambo. ...swali ulilo takiwa kujiuliza ni ili kwanini nyerere alikubaliwa na waislamu kuwa kiongozi wa wapigania uhuru ? Kwanini kwanini kwanini nimekuuliza mara 3 ili utumie akili.. je ni kwanini waislamu walimkubali Nyerere... kwa nini wasiendelea wao kudai uhuru kama unavyo dai ...waliopigania uhuru tz wapo wanajulikana ila siyo waislamu walimwaga damu na kunyongwa wengi sana ...uhuru umeanza kuoiganiwa kabla ya udini kuenea...ukisikia kinjeketile .au mbeya watu walikufa kupigania uhuru ...nakuakikishia kama siyo akili na jitihada za Nyerere basi waislamu walikuwa kupigania kwao uhuru ni kukaa vijiweni kunywa kahawa na chai tu ...nionyeshe movements zao za msingi kabla ya nyerere, kiongozi wao alifanya nini hasa cha maana... hata historia ya waislamu ya kupigania uhuru inaonekana zaidi baada ya nyerere kujiunga nao unajua kwa nini ?
 
Nipo sahihi uislamu kamwe auwezi kuwa dini ya kweli ya mungu ...ili kujua ilo ni kutumia akili tu ya kujua mema na mabaya utajua kuwa mtu awezi kuwa muislamu na kuwa na akili.
Kushambulia imani za watu wengine ndiyo kosa, hapo ndiyo CCM anapotumia mwanya wa kuwagawa watu ili wawatawale
 
Nipo sahihi uislamu kamwe auwezi kuwa dini ya kweli ya mungu ...ili kujua ilo ni kutumia akili tu ya kujua mema na mabaya utajua kuwa mtu awezi kuwa muislamu na kuwa na akili.
Sidhani kama ni sahihi ku Argue jambo kwa mtazamo wa Dini ya mtu.Watu wanajificha tu kwenye ,, miavuli ya dini ili kufanikisha matakwa yao.Kwa hiyo Mtu anaweza akiwa na jina la dini fulani lakini ana Roho ya shetani.Kwahiyo mtuaesabiwe uovu wake kama yeye binafsi wala isihusishwe dini yake,kabila lake auu utaifa wake. Mimi ni mkristo ila ninamarafiki wazuri na wema ambao ni waislamu,wengine Mabudha,na wengine wapagani kabisa hawana dini kabisa ila wanamsaada mzzuri kuliko hao wenzangu na mie.Kwahiyo ubaya wa mtu hautokani na dini yake bali na roho yake.
 
Huo ni uongo hakuna muislamu aliye pambana kumwondoa mkoloni tanzania niulize mimi waislamu ni vibaraka wa waarabu na mabeberu ya kizungu...ndiyo maana nyerere alipo ungana nao nguvu ya kupata uhuru ndiyo ikaanza nitajie muislamu aliye pigania uhuru tz hata mmoja sirihasi ....wale waliokuwepo walikuwa bosheni tu hadi nyerere alipo kuja kwa dhati ....labda ujui tabia za waislamu ni kutokuwa siriasi na mambo. ...swali ulilo takiwa kujiuliza ni ili kwanini nyerere alikubaliwa na waislamu kuwa kiongozi wa wapigania uhuru ? Kwanini kwanini kwanini nimekuuliza mara 3 ili utumie akili je ni kwanini waislamu walimkubali nyerere kwanini waliendelea wao kudai uhuru kama unavyo dai ...waliopigania uhuru tz wapo wanajulikana ila siyo waislamu walimwaga damu na kunyongwa wengi sana ...uhuru umeanza kuoiganiwa kabla ya hada ya dini kuenea...ukisikia kinjeketile .au mbeya watu walikufa kupigania uhuru ...nakuakikishia kama siyo akili na jitihada za nyerere basi waislamu walikuwa kupigania kwao uhuru ni kukaa vijiweni kunywa kahawa na chai tu ...nionyeshe movements zao za msingi kabla ya nyerere kiongozi wao alifanya nini hasa cha maana hata historia ya waislamu ya kupigania uhuru insonekana zaidi baada ya nyerere kujiunga nao unajua kwa nini ?
Akili zenyewe ndio hizi, mtatekwa mpaka vyungu vya vyakula vyenu
 
Muafaka kwa masharti yapi? Kuwa waingie kwenye muafaka ili watu wao wasiuliwe, wasipotezwe na wasifunguliwe mashtaka!

Amandla...
Kwani muafaka unakuja unaanza vipi? Muafaka unakuja baaa ya kutokea vita kama hivi
 
Kushambulia imani za watu wengine ndiyo kosa, hapo ndiyo CCM anapotumia mwanya wa kuwagawa watu ili wawatawale
Huo mwanya ndiyo unakwenda kuiangusha ccm ...kwa sababu ccm inatumia upumbavu wa waislamu kubaki madarakani sasa hiyo imeanza kuwagutusha wasio waislam sana na waislamu majina ambao ni wengi kuliko waislamu wa misikitini wanao tumika kipumbavu na ccm hivyo kutatokea upinzani wa wakristo na waislamu majina tu na wapagani dhidi ya ccm na waislamu wapuuzi wa misikitini wanaotumika na ccm kama vibaraka wao ....ujue tz kuna waislamu misikiti na waislamu majina hawa waislamu majini wao wana akili safi tu za kupima mambo na ndiyo wanao mkubali JPM bila ya unafiki maana wanaukubali ukweli kuwa jpm akuwa madarakani si kwa ajili yake bali kwa ajili ya taifa na alikuwa mzalendo tena siyo mbaguzi
 
Akili zenyewe ndio hizi, mtatekwa mpaka vyungu vya vyakula vyenu
Mimi huwa nawaurumieni sana waislamu kwa sababu huwa mnajidhani mnanguvu kumbe ni dhaifu sana na waoga ndiyo maana waislamu wa dar walimsakizia nyerere kwa mkoloni wewe unadani wao walikuwa awapendi kuwa marais ?
 
Huo mwanya ndiyo unakwenda kuiangusgmha ccm ...kwa sababu ccm inatumia upumbavu wa waislamu kubaki madarakani sasa hiyo imeanza kuwagutusha wasio waislam sana na waislamu majina ambao ni wengi kuliko waislamu wa misikitini wanao tumika kipumbavu na ccm hivyo kutatokea upinzani wa wakristo na waislamu majina tu na wapagani dhidi ya ccm na waislamu wapuuzi wa misikitini wanaotumika na ccm kama vibaraka wao ....ujue tz kuna waislamu misikiti na waislamu majina hawa waislamu majini wao wana akili safi tu za kupima mambo na ndiyo wanao mkubali JPM bila ya unafiki maana wanaukubali ukwel8 kuwa jpm akuwa madalakani kwa ajili yake bali kwa ajili ya taifa nq alikuwa mzalendo tena siyo mbaguzi
Ccm inatumia waislam kubaki madarakani tena, waislam wepi? Zanzibar vs Bara wapi penye waislam wengi? Wapi ccm inapingwa? Sasa ninawasiswasi na hizi shule za st kama ufaulu wao ni uhalisia. Akili hizi ndio za waliosoma st?
 
Mimi huwa nawaurumieni sana waislamu kwa sababu huwa najidhani mnanguvu kumbe ni dhaifu sana na waoga ndiyo maana waislamu wa dar walimsakizia nyerere kwa mkoloni wewe unadani wao walikuwa awapendi kuwa marais ?
Waliokuwa si woga wazuie uchaguzi tuone
 
Ccm inatumia waislam kubaki madarakani tena, waislam wepi? Zanzibar vs Bara wapi penye waislam wengi? Wapi ccm inapingwa? Sasa ninawasiswasi na hizi shule za st kama ufaulu wao ni uhalisia. Akili hizi ndio za waliosoma st?
Ubara na uzanzibar ndiyo unao fanya wazanzibar kuonekana wanaipinga ccm ..kumbuka ccm upande wa zanzibar ni waislamu hivyo ni waislamu wa ccm zanzibar dhidi ya wabara... hapo lazima unaweza kuona kuwa waislamu wanaopinga ccm kumbe siyo...kumbuka kuwa zaidi ya asilimia 90 ya wazanzibar ni waislamu hivyo kesi yao ni tofauti. Hata hapa bara ccm inapingwa na waislamu ila wengi wao siyo waislamu wa misikitini ...ni waislamu majina.
 
Back
Top Bottom