Uchaguzi 2020 CHADEMA imeshashinda, ili watangazwe washindi kuna maeneo matatu muhimu lazima yafanyiwe kazi

Uchaguzi 2020 CHADEMA imeshashinda, ili watangazwe washindi kuna maeneo matatu muhimu lazima yafanyiwe kazi

Quinine

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
22,227
Reaction score
49,628
Kwa uzoefu na uelewa wangu hadi sasa Chadema wanafanya vizuri ukilinganisha na Chama cha Mapinduzi CCM, wanachotakiwa ni ku focus kwenye maeneo yafuatayo.

Wawe na tallying center zaidi ya moja zingine ziwe za siri zingine za bosheni, kituo kimoja kikivamiwa iwe rahisi kuwa na back up ya matokeo, ikiwezekana wawe na kituo hata nje ya nchi.

Pili, Gharama kubwa ielekezwe kwa Mawakala hasa maeneo ya vijijini CCM inakotegemea kuiba kura, chama kihakikishe kinaweka mawakala kwenye kila kituo na wahakikishe wanaapishwa.

Mwisho, Kwa vile mgombea wao Tundu Lissu kaonyesha utayari wa kutokubali endapo ataibiwa kura, Chadema wawe tayari kuungana naye pindi atakapoaza harakati za kudai haki yake.

No pain no gain.
 
Back
Top Bottom