Nsoji go Nvaa
JF-Expert Member
- Oct 15, 2019
- 999
- 1,948
Sasa hivi mpaka january wale wapenda kiki watulie tu mpaka upepo wa chadema uishe yaan nimejua kua CHADEMA inafatiliwa sana inapendwa huu uchaguz unazungumziwa kuliko hata ule uchafuzi wa serikali ya mtaa uliofanyika juz juz
Hapa ndio CCM wanapochemkaCha kushangaza eti ilipata 1% ya ushindi, na inazungumzwa kuliko chochote sasa, kweli maajabu hayaishi shitholeni!
Wa aina yako mpo wachache... Wengi wanauzungumzia uchaguzi wa CHADEMA.Ni wewe tu, sisi tunaendelea na majukumu yetu.
CCM ni mkoloni mpya aondolewe!Sasa hivi mpaka january wale wapenda kiki watulie tu mpaka upepo wa chadema uishe yaan nimejua kua CHADEMA inafatiliwa sana inapendwa huu uchaguz unazungumziwa kuliko hata ule uchafuzi wa serikali ya mtaa uliofanyika juz juz
Gentleman,Sasa hivi mpaka january wale wapenda kiki watulie tu mpaka upepo wa chadema uishe yaan nimejua kua CHADEMA inafatiliwa sana inapendwa huu uchaguz unazungumziwa kuliko hata ule uchafuzi wa serikali ya mtaa uliofanyika juz juz