Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 10,448
- 8,705
Watakuwa wamekosea sana wakifanya hivyo.Nimeishaandika juu ya haja ya Lissu kufukuzwa CHADEMA.
Wakati naandika kwa kweli sikuwa nimeona ushahidi wa wazi wa Chama kufanya hivyo. Leo nimejiridhisha pasipo Shaka.
CHADEMA wasisubiri hata Uchaguzi. Wamfukuze Lissu sasa. Wakisubiri uchaguzi na kuogopa makelele ya watu watavuna mabua. Wakati ni sasa kabla ya uchaguzi.
Nitaanza kuweka ushahidi wa kumtia Lissu hatiani ili afukuzwe mara moja.
Amandla...