CHADEMA imfukuze Lissu sasa

Watakuwa wamekosea sana wakifanya hivyo.

Amandla...
 
Unakaa na unachukua muda wako mwingi kuandika kwamba Lissu afukuzwe na ushahidi huna sasa una Akili kweli ww.Vijana acheni kutumika kama pampasi.
 
Kweli ni muda muafaka wa huyu jamaa kuitwa mbele ya kamati ya maadili ya chama kujibu tuhuma zote alizozitoa kwa ushahidi.- wamemuacha huru mno akiendelea kubwabwaja.
Sawa CCM
 
Upo chama gani kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…