Chadema in pictures

Chadema in pictures

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Posts
54,762
Reaction score
59,204
227636_10150177623102548_741272547_6978669_8132531_n.jpg
 
Wanamuita Sugu safi sanaa
ila Ivuga mtalaka wangu mbona umeweka jukwaa la doctor???:biggrin1::biggrin1:
 
Haya sasa na waseme tu kwamba CDM haina wafuasi....ooh chama cha wahuni...sera tu kwenda mbele tutajaza kila uwanja
 
Kwa mwendo huu CCM (CHAMA CHA MAGAMBA) kimekufa kitambo
Mungu ibariki Tanzania
Mungu ibariki CHADEMA.
 
Nyomi ya nguvu. Watasema mnachakachua picha kama wale jamaa walivyokuwa wanafanya wakati wa kampeni.
Jipeni moyo, safari ndo imeanza.
 
cdm chama cha wachaga hapa lazima itakuwa moshi..lol...ivunga kama una email ya ki-kwete au nape naomba umtumie naumbambi kuwa cdm ni cha msimu aendelee kulala hakuna haja ya kujishana nao
 
cdm chama cha wachaga hapa lazima itakuwa moshi..lol...ivunga kama una email ya ki-kwete au nape naomba umtumie naumbambi kuwa cdm ni cha msimu aendelee kulala hakuna haja ya kujishana nao

Yeah ni kweli kabisa CDM ni chama cha wachaga! Hii inadhiirishwa na umati mkubwa unaisupport CDM nchi nzima. Yaelekea Tanzania nzima kuna kabila moja tu ambalo ni wachaga!!
 
CHADEMA in JF Doctors' forum!!!!!!!!!!!!!
 
CHADEMA in JF Doctors' forum!!!!!!!!!!!!!
yeah... every forum, CHADEMA is the medicine for people pains!!!

hata jukwaa la wakubwa waweke tu kwani huu ndio ukweli

dah, siku hizi wachaga wamejaa hai rungwe na kyela... yaani hadi sumbawanga, it seems wachagga account for more than 70% of this country.... LOL, Nape, how shallow

dont disgrace your late father, he was a little bit more caged!!
 
cdm chama cha wachaga hapa lazima itakuwa moshi..lol...ivunga kama una email ya ki-kwete au nape naomba umtumie naumbambi kuwa cdm ni cha msimu aendelee kulala hakuna haja ya kujishana nao

umeziomba muda mrefu mkuu
 
mpwa IVUGA vipi hii kitu umeweka kwenye jukwaa la JF doctor??? au furaha ya kushionda rufaa kwa TP Mazembe imekuchanganya....hahahaaaa salama lakini ...
 
Mie nikadhani ni picha za majeruhi ndio maana zipo JF Dk.:biggrin1::biggrin1:

Chadema inatisha kwakweli. 2015 CCM hawana chao.
 
jamaa wanapiga kazi,wameamsha sana self awareness ya wadanganyika
 
Back
Top Bottom