Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Kwenye uchaguzi mdogo wa Jimbo la Buhingwe huko Mkoani Kigoma, wapiga Kampeni wa vyama vinavyoshiriki kwenye uchaguzi huo, ni LAZIMA kila siku waitaje CHADEMA.
Kuishambulia huko CHADEMA kunatokana na nini wakati CHADEMA haina Mgombea (Ninavyojua mimi) kwenye jimbo hilo?
Kuishambulia huko CHADEMA kunatokana na nini wakati CHADEMA haina Mgombea (Ninavyojua mimi) kwenye jimbo hilo?