Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Mwambe bhana!Ushahidi...View attachment 1783358
Ha! Ha! Ha! Ha!Chadema kimewapa ulaji yani kifupi ndie mwajili wao bila Chadema wasingejulikana waacheni wamtangaze mwajili wao
Alikuwa anagombana na nani ?Ushahidi...View attachment 1783358
Hawajiwezi. Hicho ndio kisebusebu na kiroho papoNi Ujinga utakitajaje Chama ambacho Akina Mgombea...Pathetic
Hawajiwezi. Hicho ndio kisebusebu na kiroho papoNi Ujinga utakitajaje Chama ambacho Akina Mgombea...Pathetic
Kwenye uchaguzi mdogo wa Jimbo la Buhingwe huko Mkoani Kigoma, wapiga Kampeni wa vyama vinavyoshiriki kwenye uchaguzi huo, ni LAZIMA kila siku waitaje CHADEMA.
Kuishambulia huko CHADEMA kunatokana na nini wakati CHADEMA haina Mgombea (Ninavyojua mimi) kwenye jimbo hilo?
Tetetetet babuMwambe bhana!
Huo uchaguzi CCM watatumia mabilioni kwa kampeni wakati mshindi anajulikana!
Kabla ya hapo Mwambe alitokea Chama gani? Kwanini aliikimbia CCM akaomba hifadhi CHADEMA? Tuache upuuzi, Chadema inajua inachokifanyaMbunge Mwambe aliomba awe Mwenyekiti wa CHADEMA akijiita Simoni wa Kirene amsaidie Yesu kubeba msalaba, akakataliwa kabila lake.Badala yaje wakampa msalaba Yuda Iskarioti aubebe. Ulipomshinda akakimbilia Korinto badala ya kujinyonga.
Wanashindwa kumtaja kibaraka wao chama Cha Zitto.Ni Ujinga utakitajaje Chama ambacho Akina Mgombea...Pathetic
Hao ni wale wanandugu waliogoma kumaliza Tanga!!Wewe ni kichaaa, jibu swali, Chadema ina mgombea Buhigwe?
Mkuu wengi Bado wanaugulia maumivu, kilichowapata sio Cha dunia hiiKwenye uchaguzi mdogo wa Jimbo la Buhingwe huko Mkoani Kigoma, wapiga Kampeni wa vyama vinavyoshiriki kwenye uchaguzi huo, ni LAZIMA kila siku waitaje CHADEMA.
Kuishambulia huko CHADEMA kunatokana na nini wakati CHADEMA haina Mgombea (Ninavyojua mimi) kwenye jimbo hilo?