Chadema ina mgombea Buhingwe?

Inatokana ja ujinga. Wanaamini kuwa ukiishambulia hiyo CHADEMA, basi mzimu wa marehemu utakusikia.

CCM inaungwa mkono zaidi na wajinga (TWAWEZA).
 
Hahahaha Allen, hivi yale maandamano bado yapo? Yale ya kuongeza muda hadi saba? Nataka niwaunge mkono!
 
Chadema ni kama Jua Shinyanga yani utalipata tu so na wao lazima waizungumzie tu chadema
 
Chadema kinahusikaje hapo wakati hakina mgombea? Wamwage sera zao kwanini wachaguliwe wao?

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Inajulikana kuwa CHADEMA ni chama cha wananchi. Kiuhalisia kinawakilisha mtazamo huru na utashi wa wananchi wengi wanaohoji uozo ulioko serikalini. Hata walioko CCM wengi wanategemea CHADEMA kuiweka sawa (balance) serikali ikipinda kupita kiasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…