Lord OSAGYEFO
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 3,085
- 4,890
Kuna dhana imejengeka kwa baadhi ya WanaCCM kupinga katiba mpya wakiamini ni CHADEMA ndio wanataka katiba mpya kuwa na dhana hiyo ni upungufu mkubwa sana wa fikra. Swali la msingi.
Je, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete wakati anaanzisha mchakato wa katiba mpya alisema katiba ni kwa ajili ya CHADEMA?
CCM iliposhiriki huo mchakato ilikuwa inashiriki ili Chadema ipate katiba mpya?
Kuna vitu vingine kuzielewa hakuhitaji uwe na elimu ya PhD.
CHADEMA kama chama kinaongoza mapambano ya wananchi wanaotaka katiba mpya ni kama TANU mwaka 1961 ilivyoongoza mapambano ya kudai uhuru wa wananchi na sio wa TANU.
Katiba mpya haikwepiki
Tunataka katiba mpya