Halaiser
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 4,230
- 6,653
Soma tena ulichokiandika kisha uje tena kivingine. Kwanini alishambuliwa kwa risasi kama sio tishio kwenu?CHADEMA ni genge la "sarcastic"...
Unaimarikaje kwa kuwa na watu dhaifu kama Dr.Wilbroad Slaa ?!!!
Eti Tundu Lissu mropokaji ndiye akuimarishie chama [emoji1787][emoji1787]
Maweeee