Halaiser JF-Expert Member Joined Apr 3, 2014 Posts 4,230 Reaction score 6,653 Sep 3, 2023 #21 Mkunazi Njiwa said: CHADEMA ni genge la "sarcastic"... Unaimarikaje kwa kuwa na watu dhaifu kama Dr.Wilbroad Slaa ?!!! Eti Tundu Lissu mropokaji ndiye akuimarishie chama [emoji1787][emoji1787] Maweeee Click to expand... Soma tena ulichokiandika kisha uje tena kivingine. Kwanini alishambuliwa kwa risasi kama sio tishio kwenu?
Mkunazi Njiwa said: CHADEMA ni genge la "sarcastic"... Unaimarikaje kwa kuwa na watu dhaifu kama Dr.Wilbroad Slaa ?!!! Eti Tundu Lissu mropokaji ndiye akuimarishie chama [emoji1787][emoji1787] Maweeee Click to expand... Soma tena ulichokiandika kisha uje tena kivingine. Kwanini alishambuliwa kwa risasi kama sio tishio kwenu?
Msanii Platinum Member Joined Jul 4, 2007 Posts 25,252 Reaction score 36,513 Sep 3, 2023 Thread starter #22 Halaiser said: Soma tena ulichokiandika kisha uje tena kivingine. Kwanini alishambuliwa kwa risasi kama sio tishio kwenu? Click to expand... CCM inatapatapa. Wafuasi wake wengi mitandaoni wamekosa muelekeo.
Halaiser said: Soma tena ulichokiandika kisha uje tena kivingine. Kwanini alishambuliwa kwa risasi kama sio tishio kwenu? Click to expand... CCM inatapatapa. Wafuasi wake wengi mitandaoni wamekosa muelekeo.
Sir John Roberts JF-Expert Member Joined Mar 1, 2017 Posts 12,835 Reaction score 23,584 Sep 3, 2023 #23 Tindo said: Kwani kuibiwa kura huwa tunasema au ni jambo lililo wazi? Click to expand... Sasa kwanini wenzako wanapiga kura huku wanajua wataibiwa?
Tindo said: Kwani kuibiwa kura huwa tunasema au ni jambo lililo wazi? Click to expand... Sasa kwanini wenzako wanapiga kura huku wanajua wataibiwa?
Tindo JF-Expert Member Joined Sep 28, 2011 Posts 63,730 Reaction score 111,542 Sep 3, 2023 #24 Sir John Roberts said: Sasa kwanini wenzako wanapiga kura huku wanajua wataibiwa? Click to expand... Mimi sio msemaji wa wanaoendelea kupiga kura kwenye hizi chaguzi za kihayawani.
Sir John Roberts said: Sasa kwanini wenzako wanapiga kura huku wanajua wataibiwa? Click to expand... Mimi sio msemaji wa wanaoendelea kupiga kura kwenye hizi chaguzi za kihayawani.