YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Mpaka muda huu CHADEMA haikina ilani ya uchaguzi ya 2020-2025 na kinaingia kwenye uchaguzi watanadi nini wakati ilani hawana?? au wanategemea porojo za majukwwani za mgombea tu?
Wagombea uraisi mnaendeaje kugombea uraisi wakati chadema hakina ilani ya uchaguzi?
Ilani ya mwisho ilikuwa ile ya 2015-2020 ambayo muda wake umeisha iliyotengenezwa na Dr slaa na team yake.Alipoondoka ndio ukawa mwisho wa kutengeneza ilani .
Mnagombeaje uraisi bila ilani ya uchaguzi majukwaani mtauza sura au nini?