Hakuna chama kinaingia kwenye uchaguzi bila ilani, subiri utaona.Mpaka muda huu CHADEMA haikina ilani ya uchaguzi ya 2020-2025 na kinaingia kwenye uchaguzi watanadi nini wakati ilani hawana?? au wanategemea porojo za majukwwani za mgombea tu?
Wagombea uraisi mnaendeaje kugombea uraisi wakati chadema hakina ilani ya uchaguzi?
Ilani ya mwisho ilikuwa ile ya 2015-2020 ambayo muda wake umeisha iliyotengenezwa na Dr slaa na team yake.Alipoondoka ndio ukawa mwisho wa kutengeneza ilani .
Mnagombeaje uraisi bila ilani ya uchaguzi majukwaani mtauza sura au nini?
Mataga boss wenu si alisema itakufa kabla ya uchaguzi? Basi inawawasha?Mpaka muda huu CHADEMA haikina ilani ya uchaguzi ya 2020-2025 na kinaingia kwenye uchaguzi watanadi nini wakati ilani hawana?? au wanategemea porojo za majukwwani za mgombea tu?
Wagombea uraisi mnaendeaje kugombea uraisi wakati chadema hakina ilani ya uchaguzi?
Ilani ya mwisho ilikuwa ile ya 2015-2020 ambayo muda wake umeisha iliyotengenezwa na Dr slaa na team yake.Alipoondoka ndio ukawa mwisho wa kutengeneza ilani .
Mnagombeaje uraisi bila ilani ya uchaguzi majukwaani mtauza sura au nini?
Unalilia kuiona ilani ya cdm kwani hiyo ya ccm unayo hapo utuwekee hapa? Vijana wa ccm mnachemka sana hasa upande wa kupropagate! Weka ya ccm hapa if you have it?Mpaka muda huu CHADEMA haikina ilani ya uchaguzi ya 2020-2025 na kinaingia kwenye uchaguzi watanadi nini wakati ilani hawana?? au wanategemea porojo za majukwwani za mgombea tu?
Wagombea uraisi mnaendeaje kugombea uraisi wakati chadema hakina ilani ya uchaguzi?
Ilani ya mwisho ilikuwa ile ya 2015-2020 ambayo muda wake umeisha iliyotengenezwa na Dr slaa na team yake.Alipoondoka ndio ukawa mwisho wa kutengeneza ilani .
Mnagombeaje uraisi bila ilani ya uchaguzi majukwaani mtauza sura au nini?
Ccm wameshindwa kuikufisha chadema, wamebaki kupiga mikwara na majungu bungeniMataga boss wenu si alisema itakufa kabla ya uchaguzi? Basi inawawasha?
Tuwekee ilani ya mbatia hapa
Sijalilia kuiona nitaliliaje kuiona ilani isiyokuwepo? Mimi nilichofanya ni kuwastua muache kufanya mambo kienyeji muda wote huu miaka mitano hamjatengeneza hivi mna akili ninyi?Unalilia kuiona ilani ya cdm kwani hiyo ya ccm unayo hapo utuwekee hapa? Vijana wa ccm mnachemka sana hasa upande wa kupropagate! Weka ya ccm hapa if you have it?
CCM tunayo tayariMkuu, miaka kadhaa iliyopita imetokea tukisikia malalamiko yasiyokoma ya kwamba, kila wakati ambapo CDM wakitangulia kutoa ilani yao, CCM inakuja kuiba sehemu ya nondo zao na kuziboresha. Sasa mwaka huu itabidi wahangaike wao wenyewe bila kuuibia akili ya watu makini.
Mbona unajitetea Sana? Iweje ilani ya ccm ya 2020- 2025 tuione, acha maneno mengi!Sijalilia kuiona nitaliliaje kuiona ilani isiyokuwepo? Mimi nilichofanya ni kuwastua muache kufanya mambo kienyeji muda wote huu miaka mitano hamjatengeneza hivi mna akili ninyi?
CCM tunayo ilani ya uchaguzi ya 2020-2025 siku nyingi Dira na sera tunayo hadi ya 2030
iko kwenye booklet kila mgombea anapewa nawastueni chadema acheni kufanya mambo kienyeji mkipigwa pini msiseme mnaonewa nendeni haraka mkatengene ilani nina uchungu na kodi zangu mnazochukua kama ruzuku.Mnakula tu na ilani hamtengeneziMbona unajitetea Sana? Iweje ilani ya ccm ya 2020- 2025 tuione, acha maneno mengi!
Ilani yao cdm inakusaidia nini? Hawaitoi leo Wala kesho Hadi waione ya ccm ili wacopy! Umesikia au niongeze sauti ninyi wazee wa kucopy na kupaste? Safari hii imekula kwenu!iko kwenye booklet kila mgombea anapewa nawastueni chadema acheni kufanya mambo kienyeji mkipigwa pini msiseme mnaonewa nendeni haraka mkatengene ilani nina uchungu na kodi zangu mnazochukua kama ruzuku.Mnakula tu na ilani hamtengenezi
Pesa mtatoa wapi za kutengeneza ilani mtajijua katengenezeni haraka muondokane na hii aibu ya kufanya siasa kienyeji
Aisee ukisikia kuwashwa ndio hukuMpaka muda huu CHADEMA haikina ilani ya uchaguzi ya 2020-2025 na kinaingia kwenye uchaguzi watanadi nini wakati ilani hawana?? au wanategemea porojo za majukwwani za mgombea tu?