CHADEMA inakuwaje mna ugomvi na mihimili yote mitatu -- Serikali, Bunge na Mahakama?

Kwani nyie wa chama cha mmepanga nini?
 
Mihimili hii haiongozwi na Mungu kila mmoja una mungu wake, Chadema haina ugomvi na haitakuwa na ugomvi kama unavyodai wewe, mihimili hiyo lazima iwepo nchini ila tatizo huletwa na kiongozi aliyepewa jukumu la kuongoza kwa wakati husika, kumbuka Jaji Mkuu mmoja mstaafu alipomtembelea Rais Magufuli alimwambia kuwa vimemo vinawapa wakati mgumu kwenye maamuzi ya kesi.
Hilo Bunge ujue linawabunge 19 wa CCM wanaoiwakilisha Chadema, wabunge husika hawana uhusiano wowote na chama cha Chadema wala hawafiki kwenye ofisi za Chadema. Serikali huzuia mikutano yote ikiwamo ya jikoni ya Chadema huku CCM hufanya mikutano kila siku mpaka usiku.
Hebu funguka juu ya nia ya Uzi wako.
 
Of course kuna takataka nyingi zilianzishwa awamu ya 5, moja ya takataka inayokera ni hii ya watu kuandaliwa kwenye kila mji mdogo anaopita Rais naye kuanza kuongea nao, ishu ya hovyo sana. Of course Bi Mkubwa ana vitu vingi vya kufanya kuirudisha ile TZ ya 2015! Tatizo kubwa bwana jiwe aliwashika Nyota sana watanzania aliokuwa anawaita wanyonge, ambao ni more than 80% ya waTZ wote!! Ndiyo hao wapinga chanjo, na wanaotamani bwana jiwe arudi, wafuasi wa Gwajima n.k.!! Siasa ni mchezo, ngoja tuone huyu mother atachezaje, muda bado upo upande wake
 
OK mnalaumu mihimili tuanze na bunge hata mkisema wamenunuliwa vetting yenu ina maana iko weak

Inakuwaje ohh Slaa kanunuliwa, Lowasa kanunuliwa ohh wabunge wamenunuliwa ohh madiwani wamenunuliwa ina maana Chadema sio Chama cha siasa ni Duka la kuuza wanasiasa


Wana Chadema ombeni ripoti ya mapato ya Chama ambayo Chama kimepata kwa kuuza wabungle na madiwani wakiwemo wanasiasa kama Slaa, Lowasa, nk na wabunge wa Chadema 19 waliopo bungeni

Nashauri vyama Vyote vya siasa kuwa Chadema ni gulio la kuuza wanasiasa. wanafanya biashara ya kuuza binadamu. MBOWE aongezewe mashtaka ya kuuza binadamu juu ya Yale ya ugaidi
 
Akijibu nistue
 
Je MIHIMILI inatenda HAKI kwa CHADEMA

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Na ndiyo maana kwa kauli moja CDM wamekubaliana kudai katiba mpya ili kupata suluhisho ya yote hayo. Nchi Inakosa check & balance !! inatembea upande upande. mihimili 2 yaani Bunge na Mahakama inakosa uhuru ki-utendaji na hapa ndipo tatizo kubwa lilipo.

Sheria nyingi ni za kikoloni ni lazima ziangaliwe upya!! kufanIkisha haya ni lazima tukubali kujenga msingi mpya wa nyumba yetu - KATIBA.
 
katiba mpaya ni muhimu,mihimili yote imewekwa kwenye kapu moja la dolaccm
 
Kuna watu wanaitwa vinyamkera

Ni hatare
 
JINA LAKO TU LINAONESHA WEWE NI MTU WA AINA GANI,MKUDA,MLAMBA VIATU VYA MABOSI MAKAZINI
 
Sasa Kama mihimili yote hamna Imani nayo hata mmoja lengo lenu nini mnataka nini muingie msituni au? Msituni ndiko ziliko kambi za JWTZ mkienda mtawakuta . Mnataka nini?
mwanachama mwenzako Hamza waccm ni gaidi au siyo gaidi
 
Mkorosho, bibo na korosho, hapo inakuwaje ?!!!
 
Mkuu unaishi dubai nini?
Tangia alivyomaliza chuo anaishi kwa shemeji, shemeji kachoka kamsogeza kwenye corridor za lumumba apate kipato yaani book7 ndio maana uzwazwa kibao mtandaoni.
 
Wewe unafikiria kwanini?
 
Mgeni wa katiba na Mungu maana ndio miongozo ya haki.

Ingefaa kushughulika na wanaovunja sheria na katiba badala ya wanaotii katiba na sheria
 
Well said
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…