CHADEMA inalaani kwa nguvu kufungia mtandao na majukwaa ya mawasiliano ya kidijitali kabla, wakati au baada ya uchaguzi Uganda

CHADEMA inalaani kwa nguvu kufungia mtandao na majukwaa ya mawasiliano ya kidijitali kabla, wakati au baada ya uchaguzi Uganda

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205

Kuikosoa Kufungwa kwa Mtandao na Kufichwa kwa Taarifa​


CHADEMA inalaani kwa nguvu jaribio lolote la kufunga, kupunguza au kuchezea upatikanaji wa mtandao na majukwaa ya mawasiliano ya kidijitali kabla, wakati au baada ya uchaguzi.

Katika dunia ya kisasa, upatikanaji wa mtandao siyo kipengele cha heshima bali ni kifaa muhimu cha kushiriki kisiasa, kupata taarifa, uwazi, shughuli za kiuchumi na uwajibikaji wa umma. Kufungwa kwa mtandao kunapunguza ushiriki wa kidemokrasia, kunaharibu maisha ya wananchi, kunakwamisha uwazi wa uchaguzi na kuashiria hofu ya uwazi wa umma.

CHADEMA PAN-AFRICAN STATEMENT(2).jpg
 
M7 hana sera, ni sanamu linalotembea ila waliopo nyuma yake kuanzia mtoto wale wataua watu leo na kesho watakavyo kisa tu wabaki madarakani....

Ma nchi haya ya kiafrica ni ya kishenzi.....Demokrasia hakuna inabidi turudi kutoana kwa mapanga na mashoka madarakani...mbwa sisi.
 
CCM hawawezi kukemea huo ushenzi na Museveni amepokea ushauri kutoka kwa wahuni hadi kufanya uandikishaji watu mara mbili .

Mbinu wanazotumia chama cha Museveni , NRM ndio ziilezile CCM wanafanya kwenye chaguzi feki , kuanzia kuzima internet, watu kujiandikisha mara mbili na kujirudia kupiga kura, kuteka wapinzani na vitisho hebu ona hapa Bobi Wine akionyesha michezo ya CCM iliyofika hadi Uganda


View: https://x.com/i/status/2011053298225197232
 
Back
Top Bottom