Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,316
- 871,876
Achana na rekodi zote za nyuma.. Chukua za hivi karibuni
Uchaguzi wa mwenyekiti wa chama.. Mijadala kabla, askari na baada ya uchaguzi
Kampeni ya NO REFORMS NO ELECTION.. ilipozinduliwa, mikutano iliyofuatia na mwitikio wa wananchi wa kada zote
Kukamatwa kwa mwenyekiti akiwa kwenye mkutano wa hadhara na reaction ya wananchi na wadau wote nje na ndani ya nchi
Kususia kusaini kanuni za maadili ya uchaguzi
Hakuna social media Nata zile za umbea ambazo hazijadili mambo ya CHADEMA..
Ni CHADEMA kila kona
Ni CHADEMA kila sekunde
Ni CHADEMA kila dakika
Ni CHADEMA kila saa
Ni CHADEMA 24/7 Jumatatu mpaka jumatatu
CCM kila wanapojaribu wanaangukia pua.. Wakamchukua babu yetu mzee Wasira sasa hata kusikika hasikiki tena!
Makada wake wote kila wakifungua midomo wanatoa boko! Tena boko hasa😂
Hakuna kitakachoikoa ccm na anguko kuu..
Lissu na timu yake chini ya CHADEMA ni moto wa makaa ya mawe.. Unayeyusha mpaka vyuma