Very True hata CCM Hawana amani kabisaaAchana na rekodi zote za nyuma.. Chukua za hivi karibuni
Uchaguzi wa mwenyekiti wa chama.. Mijadala kabla, askari na baada ya uchaguzi
Kampeni ya NO REFORMS NO ELECTION.. ilipozinduliwa, mikutano iliyofuatia na mwitikio wa wananchi wa kada zote
Kukamatwa kwa mwenyekiti akiwa kwenye mkutano wa hadhara na reaction ya wananchi na wadau wote nje na ndani ya nchi
Kususia kusaini kanuni za maadili ya uchaguzi
Hakuna social media Nata zile za umbea ambazo hazijadili mambo ya CHADEMA..
Ni CHADEMA kila kona
Ni CHADEMA kila sekunde
Ni CHADEMA kila dakika
Ni CHADEMA kila saa
Ni CHADEMA 24/7 Jumatatu mpaka jumatatu
CCM kila wanapojaribu wanaangukia pua.. Wakamchukua babu yetu mzee Wasira sasa hata kusikika hasikiki tena!
Makada wake wote kila wakifungua midomo wanatoa boko! Tena boko hasaπ
Hakuna kitakachoikoa ccm na anguko kuu..
Lissu na timu yake chini ya CHADEMA ni moto wa makaa ya mawe.. Unayeyusha mpaka vyumaView attachment 3302047
sure,Achana na rekodi zote za nyuma.. Chukua za hivi karibuni

Mapambano ya kujidanganya matokeo yake huwa hewa vile vile.nchi ya Tanganyika iliwahi kuwepo,ila kwa sasa haipo.iwe imekua hivyo kimakosa au kiusahihi.kwa sasa nchi ya tanganyika haipo! Labda itafutwe upya!Iko Tanganyika
Mkuu nipo upande wako, kura yangu ningekuwa karibu ingekuwa kwakosure,
kwa kuropokaji chadema inatawala gentleman, kinyume na hapo ni upotoshaji π
Uko mbali sana na uhalisia.. Tanganyika ipo .. Kisichopo lakini tunaambiwa kipo ni TanzaniaMapambano ya kujidanganya matokeo yake huwa hewa vile vile.nchi ya Tanganyika iliwahi kuwepo,ila kwa sasa haipo.iwe imekua hivyo kimakosa au kiusahihi.kwa sasa nchi ya tanganyika haipo! Labda itafutwe upya!
Kumbe nawe ni kubwa jinga? Ndio akili wanayoitegemea kuwashauri, sasa nendeni mkachimbe kaburi imeshakata roho hiyo chadomo yenuAchana na rekodi zote za nyuma.. Chukua za hivi karibuni
Uchaguzi wa mwenyekiti wa chama.. Mijadala kabla, askari na baada ya uchaguzi
Kampeni ya NO REFORMS NO ELECTION.. ilipozinduliwa, mikutano iliyofuatia na mwitikio wa wananchi wa kada zote
Kukamatwa kwa mwenyekiti akiwa kwenye mkutano wa hadhara na reaction ya wananchi na wadau wote nje na ndani ya nchi
Kususia kusaini kanuni za maadili ya uchaguzi
Hakuna social media Nata zile za umbea ambazo hazijadili mambo ya CHADEMA..
Ni CHADEMA kila kona
Ni CHADEMA kila sekunde
Ni CHADEMA kila dakika
Ni CHADEMA kila saa
Ni CHADEMA 24/7 Jumatatu mpaka jumatatu
CCM kila wanapojaribu wanaangukia pua.. Wakamchukua babu yetu mzee Wasira sasa hata kusikika hasikiki tena!
Makada wake wote kila wakifungua midomo wanatoa boko! Tena boko hasaπ
Hakuna kitakachoikoa ccm na anguko kuu..
Lissu na timu yake chini ya CHADEMA ni moto wa makaa ya mawe.. Unayeyusha mpaka vyumaView attachment 3302047
Mimi leo nimetembelea maskani kama tatu hivi, Katoro na Runzewe ni hatari, π₯,wananchi bila woga wanajadili na kumshushia shutuma zote Samia.Mwenyewe niko na lishangazi langu hapa tunajadili mambo ya Chadema π₯
Chadema is in eviri kona.
Inasikitisha sana mkuu πMimi leo nimetembelea maskani kama tatu hivi Katoro na Runzewe ni hatari π₯ wananchi bila woga wanajadili na kumshushia shutyma zote Samia.