CHADEMA inamiliki na kutawala siasa za Tanganyika kwa asilimia 99

Nina mashaka na Kudidimia kwa Demokrasia nchini na tunakokwenda.
 
Tukiondoa unafiki, chadema ndiyo chama pekee cha siasa kilichobaki nchi hii, ukibisha njoo na facts na siyo porojo za hapa na pale!
 
Kumbe nawe ni kubwa jinga? Ndio akili wanayoitegemea kuwashauri, sasa nendeni mkachimbe kaburi imeshakata roho hiyo chadomo yenu
Mama kafunga mpinzani na kashinda kwa 100% tukapate kimpumu kushrehekea
 
Kesi ya kubambikwa Uhaini ya Lissu inaenda kufuatiliwa na Watu milioni hamsini ndani na nje ya mipaka ya Tanzania.

Mimi ninaelekea Daresalaama kwenda kumjulia hali Jemadari Tundu Antipasi Mughwai Lissu halafu nasubiri hadi siku ya kesi.
 
Nafikiri unatania tu,hauko serious!
Naomba tueleweshane kwa weledi
Kuna muungano/muunganiko wa nchi mbii.. Tanganyika na Zanzibar.. Hizi zinazaa jina linaloitwa TAN(GANYIKA) na ZAN(ZIBAR) yale maneno ya mwisho IA ni kikolombwezo tu
Kwahiyo kama ni muungano yaani viwili vinakuwa kimoja..
Nchi moja
Bendera moja
Mkuu mmoja
Jeshi moja
Bunge moja
Wimbo wa taifa mmoja
Mpaka mmoja
Mamlaka moja nk

Je kwenye huu muungano Mbona kuna mamlaka na jina kamili la Zanzibar lakini hakuna mamlaka na jina kamili la Tanganyika?
Sijui unanielewa?
Nafasi ya Tanzania ni ipi kwenye huo muungano?
Sijui unanielewa?
 
Mzee wa vitabu vya C & P.. fundi redio Yericko Nyerere anasema eti chama kina kufa.
 
Mzee wa vitabu vya C & P.. fundi redio Yericko Nyerere anasema eti chama kina kufa.
Sio jambo geni, tokea Mbowe ashindwe huyu jamaa ni kama kaota Bawasiri, lakini ninataka kumwambia kuwa mpaka sasa ni maelfu kwa maelfu ya Watanzania wanajiunga na CHADEMA na hiyo ni kabla ya Mwenyekiti kukamatwa, sasa CHADEMA kinakufaje au ndio kinafufuka.
Na kukamatwa kwa Lissu kutawafanya Wananchi wengi zaidi wajiunge na CHADEMA pamoja na kuchangia TONE TONE.
 
Umesema vizuri tu.inamaana walivokaa kujadili muungano zanzibar haikutaka kupotezwa/kumezwa,na kupoteza mamlaka zake na utambulisho wake wote kwenye muungano.ila tanganyika walikubali kupoteza mamlaka na utambulisho wao wote.

ndio maana tanganyika haipo ila zanzibar ipo! Na muungano wenyewe si kwenye kila jambo,kuna mambo ya muungano na yasiyo ya muungano.kama tunahisi kuimiss tanganyika basi tumlaumu mwl. Nyerere aliyekubali kuipoteza tanganyika.
Lakini ukisema leo kuna nchi inaitwa tanganyika duniani.utakuwa unajifariji tu, na hata watoto watakushangaa!

Katika muungano tanganyika walipoteza mamlaka ya ndani ya kujitawala,wakati zanzibar walipoteza mamlaka ya nje(kimataifa) kujitawala.
Ndio maana wazanzibar wao ndani ya visiwa vyao wanajisimamia kama nchi,ila kimataifa wanajitambulisha kama watanzania. Na swala la vigezo tu na masharti kuzingatiwa.
 
kilichobaki kwa kile kinachoitwa Muungano ni kipengele kimoja tu cha siasa
 
Endeleeni kuota hata vituo vikiwa vitupu sio kesi sheria za uchaguzi hazisemi wapiga kura wawe wangapi kuiweka serikali madarakani waweza kuwa hata mia

Kwenda kupiga kura sio kosa ni hiari

Kosa ni kuzuia mtu mwingine anayetaka kupiga kura kumzuia kwa nguvu asipige
Hapo ndipo polisi wataingia kwa nguvu zote kuwatwanga virungu na risasi kutetea wanaotaka kupiga kura wapige kwa mujibu wa katiba ya nchi inavyowaruhusu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…