Mbowe akiendelea kuongoza chadema itabaki hivi
mabadiliko ni kitu kisichopingika,
hata kama mbowe amekua mzuri kiasi gani ila zama zimebadilika na style yake ya uongozi imefikia ukomo wa mafanikio,
mambo mengi ya hivi karibuni ambayo mbowe alienda kinyume na Lissu yalifeli vibaya,
ikiwemo ajenda ya maridhiano na kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa, lissu alikua against haya mambo ila mbowe ali influence kamati kuu basi ikabdi wote watii maamuzi ya ngazi hyo, ila matokeo yake tumeona.
ni wazi mbowe style imetosha sasa namna mpya inahitajika kupambana na ccm.
lissu ni faida kwa chadema kuliko chadema ilivyo faida kwa lissu.
lissu kwa hulka yake atapigana vita zote kukitetea chama ila mbowe umri umeenda, anaogopa mapambano.
ni wazi kizazi kipya kina muunga mkono lissu na sio Mbowe.
busara zimuelekeze mbowe kustaafu kwa heshima, ili na atua amemaliza majungu yote wanayotamba nayo ccm kuwa chadema ni Saccos ya mbowe na ni chama cha wachaga