Kinyongo chako: Catholic, Butiku, Warioba, Nyerere===>> The usual target!!!!!!!!Chadema imenajisiwa na akina Lissu, Heche na Mnyika. Chama cha waluteri kimeibiwa na wakatoliki na kikaratibu kuichoma nchi kama short cut ya kuipundua serikali; lakini wakashindwa vibaya sana. Butiku na Warioba wamejichimbia humohumo kupitisha ajenda zao. Chadema ya sasa ni kama chaka lenye viumbe wengi wa aina mbalimbali wenye nia tofauti wakiwemo fisi, nguchilo, nguruwe na mbweha.
Butiku na Warioba wanadhani Tanzania ni mali ya Nyerere; imeanzishwa na Nyerere na wao wanajiona kama walithi halali wa Nyerere. Nao wameduaa sana mapinduzi yale kushindwa kirahisi kama vile na kusababisha watu kupoteza maisha kwasababu yao; ni kama vile nafsi inawasuta. Butiku na warioba wanataka kuwaaminisha vijana kuwa Nyerere alikuwa anaongoza kwa haki na demokrasia kuliko sasa.
Wenye chadema yao; waluteri nyoyo zao zinaungua moto kwa chama chao kutumika vibaya. Chama chao kimo kifungoni. Kama uchaguzi utarudiwa leo nina uhakika kuwa chadema itarudi kwa wenyewe.
Nyie akina Butiku tulieni tume ya Jaji Chande ikamilishe kazi yake kwanza. Hapo ndio watanzania watajua nani ni nani kwenye lileeee. Kusema sana kwa sasa ni kubabaika tu.Hapa ndio unaona umecheza bonge la mindgame, si ajabu usikie huko Kihongosi anakozunguka kutema shit akasema hiki unachokisema ww.
Hiyo ni ndoto ya mwenda wazimu. Mnatamani sana pandikizi lenu lirudi tena jambo ambalo haliwezekani hata kidogo labda aende kwa wale vifaranga wake aliowatanguliza kule Chauma. Mbowe amejiharishia mwenyewe na wa kumsafisha hakuna atumbue tu zile b12 alizohongwa na Samuya siasa zimeshamkataa.Chadema imenajisiwa na akina Lissu, Heche na Mnyika. Chama cha waluteri kimeibiwa na wakatoliki na kikaratibu kuichoma nchi kama short cut ya kuipundua serikali; lakini wakashindwa vibaya sana. Butiku na Warioba wamejichimbia humohumo kupitisha ajenda zao. Chadema ya sasa ni kama chaka lenye viumbe wengi wa aina mbalimbali wenye nia tofauti wakiwemo fisi, nguchilo, nguruwe na mbweha.
Butiku na Warioba wanadhani Tanzania ni mali ya Nyerere; imeanzishwa na Nyerere na wao wanajiona kama walithi halali wa Nyerere. Nao wameduaa sana mapinduzi yale kushindwa kirahisi kama vile na kusababisha watu kupoteza maisha kwasababu yao; ni kama vile nafsi inawasuta. Butiku na warioba wanataka kuwaaminisha vijana kuwa Nyerere alikuwa anaongoza kwa haki na demokrasia kuliko sasa.
Wenye chadema yao; waluteri nyoyo zao zinaungua moto kwa chama chao kutumika vibaya. Chama chao kimo kifungoni. Kama uchaguzi utarudiwa leo nina uhakika kuwa chadema itarudi kwa wenyewe.
Punguza utoto dogo.Nyie akina Butiku tulieni tume ya Jaji Chande ikamilishe kazi yake kwanza. Hapo ndio watanzania nani ni nani kwenye lileeee. Kusema sana kwa sasa ni kubabaika tu.
Hakuna kinyongo hapo, lakini Nyerere alikuwa hapendi mawazo mbadala. Wote tulikuwepo wakati Nyerere akiendesha chaguzi za NDIYO au HAPANA kana kwamba hakukua na watu wengine. Tuliona kile walichokiona akina Kambona, Bibi Titi, Mzee Jumbe, Malecela, nk.Kinyongo chako: Catholic, Butiku, Warioba, Nyerere===>> The usual target!!!!!!!!
Wanachotaka kufanya akina Butiku ni hofu ya majibu ya tume ya Chande. Eti Butiku anajua chadema ina wanachama 7m. Alijuaje kama yeye sio mwanachadema mhamiaji. Wamempora Mbowe chama chake ili kukitumia vibaya, badala yake wamekwenda kukinasisha kwenye tope. Kimetumika kwenye uhaini. Yaani ni New chadema + Polepole + (Butiku + Warioba) + Kanisa + some diaspora = Mapinduzi.Punguza utoto dogo.
Narudia, punguza utoto dogo.Wanachotaka kufanya akina Butiku ni hofu ya majibu ya tume ya Chande. Eti Butiku anajua chadema ina wanachama 7m. Alijuaje kama yeye sio mwanachadema mhamiaji. Wamempora Mbowe chama chake ili kukitumia vibaya, badala yake wamekwenda kukinasisha kwenye tope. Kimetumika kwenye uhaini. Yaani ni chadema + Polepole + (Butiku + Warioba) + Kanisa + some diaspora.
Ni mwendawazimu pekee anaeamini kuwa chadema itakwenda Ikulu. Mzee Kingunge nae aliamini CCM imekata punzi lakini akakata punzi yeye.Hiyo ni ndoto ya mwenda wazimu. Mnatamani sana pandikizi lenu lirudi tena jambo ambalo haliwezekani hata kidogo labda aende kwa wale vifaranga wake aliowatanguliza kule Chauma. Mbowe amejiharishia mwenyewe na wa kumsafisha hakuna atumbue tu zile b12 alizohongwa na Samuya siasa zimeshamkataa.
Kwani kama unampenda mbowe si upeleke posa kabisa kwa mama Samia ili aolewe na MboweChadema imenajisiwa na akina Lissu, Heche na Mnyika. Chama cha waluteri kimeibiwa na wakatoliki na kikaratibu kuichoma nchi kama short cut ya kuipundua serikali; lakini wakashindwa vibaya sana. Butiku na Warioba wamejichimbia humohumo kupitisha ajenda zao. Chadema ya sasa ni kama chaka lenye viumbe wengi wa aina mbalimbali wenye nia tofauti wakiwemo fisi, nguchilo, nguruwe na mbweha.
Butiku na Warioba wanadhani Tanzania ni mali ya Nyerere; imeanzishwa na Nyerere na wao wanajiona kama walithi halali wa Nyerere. Nao wameduaa sana mapinduzi yale kushindwa kirahisi kama vile na kusababisha watu kupoteza maisha kwasababu yao; ni kama vile nafsi inawasuta. Butiku na warioba wanataka kuwaaminisha vijana kuwa Nyerere alikuwa anaongoza kwa haki na demokrasia kuliko sasa.
Wenye chadema yao; waluteri nyoyo zao zinaungua moto kwa chama chao kutumika vibaya. Chama chao kimo kifungoni. Kama uchaguzi utarudiwa leo nina uhakika kuwa chadema itarudi kwa wenyewe.
Ni taahira tu anayeamini kuwa CCM ni chama siasa, CCM ni genge maslahi la watu wachache linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kutawala.Ni mwendawazimu pekee anaeamini kuwa chadema itakwenda Ikulu. Mzee Kingunge nae aliamini CCM imekata punzi lakini akakata punzi yeye.