CHADEMA inarudi kwa Mbowe kama uchaguzi ukifanyika leo

Mbowe hatakuwa na jipya, CDM inahitaji viongozi thabiti wenye misimamo isiyoyumbishwa - watanzania wanataka changes sasa usitegemee kupata changes zozote toka kwa mtu kama Mbowe, Zitto.
 
Narudia, punguza utoto dogo.
Narudia tena, Samia ni Rais hadi 2030. Msipoteze muda wenu jiandaeni kwa uchaguzi 2030. Kinachoendelea nchini kinamuongezea umakini tu basi na kuongeza bajeti ya ulinzi kwa kupunguza bajeti ya maendeleo ya wananchi.
 
UVCCM mnapambana, naona mmekuja na new strategies, oops literally it's kind of same strategy in a different approach, divide and rule of a different format. Making it Lutheran vs Catholic, it's not gonna work and political parties are not religion associations unless if you mean CCM is an Islamic party or rather a Sunni party.
Funny fact, ukiona faction ya opposition inasifiwa na CCM iogope kama ukoma.
 
We kwel chokolaa
 
Do you mean that Nyerere, Mkapa, Magufuli, Lissu, Kitima are not Catholic? How this happened, only chance? No Sir!!! Hata walutheri wanalijua hili. Hata Wakati Lowassa anataka kugombea kiti cha Urais aliwakumbusha waluteri wenzake wamchague yeye ili iwe zamu yao nao kuongoza nchi. Unadhani wao ni malofa hawalijui hilo? Yaani wewe huujui msimamo wa makanisa mengine; Lutheran, Anglican, TAG, nk juu ya serikali ya CCM na vurugu za oct29?. You are kidding.
 

Weakening tu nabenezezeni udini. Mambo yakiwageuka mnaanza kuwasukumia Wapinzani. Unfortunately Watanzania wameshaamka. Hizi propaganda uchwara hazitafanikiwa.
 
Tindo bhana, mapinduzi yakifeli wote waliotaka kupindua wanaishia kukosa amani na utulivu kabisa. Wewe subiri utaona mengi.
Wanaoona aibu ni waliopora uchaguzi ama wapi?
 

Umesahau kama mlitangaza kuwachinja kwa mapanga makafiri ili kulinda chama na huyo bibi yenu wa Kizanzibari, umesahau kweli or you're just pretending. Unaongelea historia then hata hiyo CHADEMA kihistoria haikuwa viongozi waliopo sasa hivi ila kwa kuwa unakiongelea structure yake currently it's well and good kwani na unatudhihirishia(currently) kuwa CCM ni kitengo cha BAKWATA kama si kitengo cha Sunni.
Hapo juu(picha mbili za juu) ni kiongozi wenu(shehe) aliyetangaza crusade ya kuchinja makafiri kwa niaba ya CCM.
 
Weakening tu nabenezezeni udini. Mambo yakiwageuka mnaanza kuwasukumia Wapinzani. Unfortunately Watanzania wameshaamka. Hizi propaganda uchwara hazitafanikiwa.
Tusidanganyane. Hakuna kijana wa Mbagala mwenye akili timamu anaweza kuchoma vituo vya mwendokasi ambavyo vinamsaidia yeye kusafiri na kusafirisha mambo yake. kama yupo kijana kama huyu hana tofauti na mbwa kichaa anaeng'ata watu na mbwa wenzake; hastahili kuwepo kwenye jamii; ni gugu. Kama yupo kijana anaeona anaweza kuishi bila uwepo wa vituo vya polisi kwenye mitaa yao basi kijana huyo sio mzima na hana faida kwa taifa, wenzake na yeye mwenyewe pia.

Kama yuko kijana anaedhani kuwa ukikasirishwa unaweza kuchoma TRA bila kupewa adhabu kijana huyo sio mzima, hafai kuwepo kwenye jamii la sivyo akapimwe akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…