Ni kweli kwa akili na mawazo ya kichawaChadema ni chama cha Mtei, Mbowe na Waluteri kilichoporwa na wahuni na Wakatoliki kutaka kukitumia kwenda Ikulu lakini baada ya kushindikana watahakikisha kinarejeshwa kwa wenyewe as soon as possible. Hata aliyoyasema Mbowe kwenye msiba yalipangwa kwa ustadi mkubwa. Mwigulu hakwenda pale kwa bahati mbaya tu.
View: https://youtube.com/shorts/1irKyU01v7I?si=cbGlJqmFZJKq77dr
Ni sawq,lakini itabaki ile chadema? Au itakuwa kama CUF baada ya maalimu seif kuhama na kumuachia LipumbaNi kweli kwa akili na mawazo ya kichawa
Hilo waulize waoNi sawq,lakini itabaki ile chadema? Au itakuwa kama CUF baada ya maalimu seif kuhama na kumuachia Lipumba
Chuki uliyonayo kwa wakatoliki ni kubwa sanaChadema ni chama cha Mtei, Mbowe na Waluteri kilichoporwa na wahuni na Wakatoliki kutaka kukitumia kwenda Ikulu lakini baada ya kushindikana watahakikisha kinarejeshwa kwa wenyewe as soon as possible. Hata aliyoyasema Mbowe kwenye msiba yalipangwa kwa ustadi mkubwa. Mwigulu hakwenda pale kwa bahati mbaya tu.
View: https://youtube.com/shorts/1irKyU01v7I?si=cbGlJqmFZJKq77dr
Utangoja sana kaka, for the record wakatoliki hawana plan na hiko chama.Chadema ni chama cha Mtei, Mbowe na Waluteri kilichoporwa na wahuni na Wakatoliki kutaka kukitumia kwenda Ikulu lakini baada ya kushindikana watahakikisha kinarejeshwa kwa wenyewe as soon as possible. Hata aliyoyasema Mbowe kwenye msiba yalipangwa kwa ustadi mkubwa. Mwigulu hakwenda pale kwa bahati mbaya tu.
View: https://youtube.com/shorts/1irKyU01v7I?si=cbGlJqmFZJKq77dr
chadema ni ileile tu. Mfano, wakati ulee Mwenyekiti mbowe alikuwa mahabusu kwa muda mrefu lakini wanachama waliendelea na kazi zao za kujitafutia maisha as if nothing happened. Sasa hivi Lissu yuko ndani lakini wanachama wengi wako kwenye mishe zao as if nothing is happening. Chadema haijawahi kuwa na nguvu hata siku moja; inakuwa na nguvu tu pale kiongozi kutoka CCM anapojiunga cdm na kupewa nafasi ya kugombea. Hata Nyerere alisemaga kuwa atakaeiangusha CCM ni wanaCCM wenyewe. Chadema hakuna watu bwanawee. Yale maandamano yao ya Oct29 na Dec9 yameonyesha kuwa cdm sio lolote.Ni sawq,lakini itabaki ile chadema? Au itakuwa kama CUF baada ya maalimu seif kuhama na kumuachia Lipumba
Hayo ni matamanio yako na yatabaki kuwa ndoto ya mwenda wazimu tu.Chadema ni chama cha Mtei, Mbowe na Waluteri kilichoporwa na wahuni na Wakatoliki kutaka kukitumia kwenda Ikulu lakini baada ya kushindikana watahakikisha kinarejeshwa kwa wenyewe as soon as possible. Hata aliyoyasema Mbowe kwenye msiba yalipangwa kwa ustadi mkubwa. Mwigulu hakwenda pale kwa bahati mbaya tu.
View: https://youtube.com/shorts/1irKyU01v7I?si=cbGlJqmFZJKq77dr
Chuki sina, nimezaa na wakatoliki wengi sana, nina mademu wakatoliki wengi pia. NIko vizuri tu na dini na madhehebu mengi. Hata wanangu 3 wamesoma shule za wakatoliki bila bughudha yoyote. Mimi nasema ukweli tu baaasi. Mpango wa kumng'oa Mbowe pale cdm ulisukwa na kugharamiwa naChuki uliyonayo kwa wakatoliki ni kubwa sana
BAKWATA mna usenge mwingi sana.chadema ni ileile tu. Mfano, wakati ulee Mwenyekiti mbowe alikuwa mahabusu kwa muda mrefu lakini wanachama waliendelea na kazi zao za kujitafutia maisha as if nothing happened. Sasa hivi Lissu yuko ndani lakini wanachama wengi wako kwenye mishe zao as if nothing is happening. Chadema haijawahi kuwa na nguvu hata siku moja; inakuwa na nguvu tu pale kiongozi kutoka CCM anapojiunga cdm na kupewa nafasi ya kugombea. Hata Nyerere alisemaga kuwa atakaeiangusha CCM ni wanaCCM wenyewe. Chadema hakuna watu bwanawee. Yale maandamano yao ya Oct29 na Dec9 yameonyesha kuwa cdm sio lolote.
Sawa lakini waliuwawa wangapi hapo tarehe 29? Wale walizikwa pamoja kule kondo ni kina nani?chadema ni ileile tu. Mfano, wakati ulee Mwenyekiti mbowe alikuwa mahabusu kwa muda mrefu lakini wanachama waliendelea na kazi zao za kujitafutia maisha as if nothing happened. Sasa hivi Lissu yuko ndani lakini wanachama wengi wako kwenye mishe zao as if nothing is happening. Chadema haijawahi kuwa na nguvu hata siku moja; inakuwa na nguvu tu pale kiongozi kutoka CCM anapojiunga cdm na kupewa nafasi ya kugombea. Hata Nyerere alisemaga kuwa atakaeiangusha CCM ni wanaCCM wenyewe. Chadema hakuna watu bwanawee. Yale maandamano yao ya Oct29 na Dec9 yameonyesha kuwa cdm sio lolote.