CHADEMA inatakiwa kususia kazi za hawa wasanii kwa kusapoti kampeni za chama tawala

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2012
Posts
14,588
Reaction score
32,361
Hata kama ni Marekani lazima CHADEMA ionyeshe kuwa haina double standard kwa kuamua kususia kazi zao. Kumekuwa na matamko kadhaa za kutaka tususie kazi za wasanii wa Tanzania wanaoisapoti CCM kwa hiyo umefika muda sahihi wa chama cha Mbowe kutoa wito kwa wafuasi wake kususia kazi za wasanii wafuatao wa Marekani kwa kusapoti chama tawala cha Marekani.

1. Megan Thee Stallion
2. Lizzo, Usher
3. Lil Jon
4. Maren Morris
5. Quavo
6. Lance Bass
7. Stevie Wonder
8. Taylor Swift
9. Cher
10. John Legend
11. Stevie Nicks
12. Olivia Rodrigo
13. Neil Young
14. Willie Nelson
15. Moby
16. Lil Nas X
17. Katy Perry
18. Kesha
19. Jon Bon Jovi
20. James Taylor
21. Charli XCX
22. Billie Eilish
23. Bon Iver
24. Ariana Grande
25. Barbra Streisand
26. Cardi B
 
Hicho kilevi unachotumia kimeanza kukukataa nawe kikatae.
 
Id nyingine ime post uzi kama huu. Embu muwe na utaratibu wa kuwa na id moja, unapoat utumbo ule ule kwa id tofauti
 
Huna akili hata kidogo. Hasara kwa wazazi wako. Hasara kwa Tanzania. Hasara kwa Dunia
 
Nyumbu hawezi kuwa na akili na hatakaa awe na akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…