jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 36,197
- 29,717
Kinachondelea ndani ya Chadema ni mbinu ya kukifanya chama chao kisemwe na kusikika katika jamii na nyanja za kisiasa.
Hii ni mbinu iliyopitwa na muda yaani kutengeneza drama ili msikike na kutajwatajwa.
Kamwe mbinu hii haitaondoa ukweli kwamba CCM imeshawashinda kwa kuchukua sehemu kubwa ya uongozi wa vijiji na mitaa.