CHADEMA inawahitaji akina Mdee kuliko akina Mdee kuihitaji CHADEMA. Warejesheni kuimarisha chama

Takataka TU!! Kwa iyo wakifa na chadema imekufa?

KAZI ni kipimo cha UTU
Kwani TLP, NCCR na CUP Bado vipo? Hata chadema isipokuwa makini itakufa polepole. Ili CCM iwaogope na muonekane mmekomaa warejesheni kundini mliotofaitiana mitizamo. CCM iliwarudisha kundini akina Lowassa, sumaye, membe, dr.slaa, mrema, nk ambao walitimkiaga vyama vingine sembuse nyinyi wachanga.
 
Kupata mwanasiasa mwenye kariba ya Halima Mdee na Esther Bulaya kwenye upinzani sio jambo jepesi, hasa katika nyakati hizi ambazo CCM inamtafuta kila mwanasiasa maarufu kutoka upinzani.

Akina Halima ni wazoefu, wasomi, wenye misuli ya fedha za kupiga kampeni zao na za chama na wanakubalika kwenye jamii.

Chadema warejeshi hawa watu ili kuonyesha zile 4Rs za Rais Samia kuwa hata kwenu hizo Rs zinafanya kazi.
Mdee anaweza kuwa na umuhimu CHADEMA kuliko alivyokuwa Walid Kaburu kweli?
 
Tukisema upinzani haupo mtuelewe

Haya kuna mmoja bila aibu wala haya anasema wanawakaribisha waliofukuzwa chama tawala.

Hizi ni dharau gani kwa wananchi
Hakuna wapinzani ni fursa watu wanalenga.

Tukisema ukweli mnatuita stupid
Sasa sijui nani ni stupid kusema za kweli!
 
Chama kiko tayari kuwapokea kwa mbwembwe watu waliofukuzwa CCM lakini hakiko tayari kuwasamehe wanachama wake wenyewe. Unafiki wa kijinga huu wa kumkubali aliyekosea CCM na kumkataa aliyekosea chadema.
 
Kupata mwanasiasa mwenye kariba ya Halima Mdee na Esther Bulaya kwenye upinzani sio jambo jepesi, hasa katika nyakati hizi ambazo CCM inamtafuta kila mwanasiasa maarufu kutoka upinzani.

Akina Halima ni wazoefu, wasomi, wenye misuli ya fedha za kupiga kampeni zao na za chama na wanakubalika kwenye jamii.

Chadema warejeshi hawa watu ili kuonyesha zile 4Rs za Rais Samia kuwa hata kwenu hizo Rs zinafanya kazi.
"CCM inmuhutaji Kinana kuliko Kinana anavyoihitaji CCM"
 
Punguza unafiki umekaza shingo kulaumu upinzani huku walioupitisha sheria m ovu za uchaguzi unawaona. Waaana.

Tatizo lako unadhani upinzani ni watu wachache. Yani wewe ukae na ufanye shughuli zako ukitegemea wengine wafanye Tena kwa kuwakebehi. Very stupid.
Mkuu labda hamfahamiani...mnapambana wenyewe kwa wenyewe.......
 
Kupata mwanasiasa mwenye kariba ya Halima Mdee na Esther Bulaya kwenye upinzani sio jambo jepesi, hasa katika nyakati hizi ambazo CCM inamtafuta kila mwanasiasa maarufu kutoka upinzani.

Akina Halima ni wazoefu, wasomi, wenye misuli ya fedha za kupiga kampeni zao na za chama na wanakubalika kwenye jamii.

Chadema warejeshi hawa watu ili kuonyesha zile 4Rs za Rais Samia kuwa hata kwenu hizo Rs zinafanya kazi.
Naunga mkono hoja, wawasamehe maisha yaendelee. Ushauri kama huu na mimi nimewapa hapa Ushauri wa bure: CHADEMA iachane na issue ya Wabunge wake 19, iwasamehe waendelee na Ubunge wao. Kwa muda uliobakia kuwatengua hakuna maslahi yoyote!
P
 
sikio la kufa kaka halisikii dawa, siasa ni akili, sayansi, sanaa, uzoefu na nguvu ya fedha. Hawa 19 wana 85% ya vitu vinavyohitajika kushinda uchaguzi ujao kama wataungwa mkono na chadema na kuongeza ukubwa wa ruzuku kwa chama.
 
Wabunge 19 waliingia kwa siasa za Magufuli kama wanatamani kurudi warudi tu watakuwa so genuine kuliko ilivyo kwa Peter Msigwa. Hawa ilikuwa njaa tu na madeni ya mabenki haikuwa na namna. lakini pia serikali ingekosa misaada kwa kukiuka demokrasia. hii ili converge. Warejeshwe kwenye kundi. Hata wasaliti wa imani ya dini hurejeshwa. Siasa ni kucheza na mazingira.
 
Kama sumaye, Lowassa na membe walirejeshwa CCM why not Mdee, et al.?
 
Kupata mwanasiasa mwenye kariba ya Halima Mdee na Esther Bulaya kwenye upinzani sio jambo jepesi, hasa katika nyakati hizi ambazo CCM inamtafuta kila mwanasiasa maarufu kutoka upinzani.

Akina Halima ni wazoefu, wasomi, wenye misuli ya fedha za kupiga kampeni zao na za chama na wanakubalika kwenye jamii.

Chadema warejeshi hawa watu ili kuonyesha zile 4Rs za Rais Samia kuwa hata kwenu hizo Rs zinafanya kazi.
Walienda 19 huko kutoka Chadema kati yao wakiwemo mzee Mdee na mzee Bulaya, kwanini sasa utetezi ubakie kwa hao wazee Wawili? Kwanini hao 17 waliobaki wanapuuzwa? Kuna bini chini ya zulia?
 
Mkimtaja Halima umelitaja kundi lote hilo. Chadema haiwezi kuamua kilevi tu iwakose wanachama wake 19 wenye nguvu za fedha, kisiasa na uzoefu kwasababu yoyote ile. Kusameheana lazima kuwepo kwenye siasa. Marekani ilikuwa tayari kumsamehe adui yake mkubwa Venezuela ya Maduro ili auze mafuta yake baada ya vikwazo vya mafuta na gesi ya Urusi. Kwenye siasa hakuna uadui wa kudumu na kujiapiza. Ni wavulana na wasichana tu wanaoweza kufanya hivyo.
 
CHADEMA siyo Mdee wala Bulaya kuondoka kwao ndio nafasi ya kuibuka kwa akina Mdee na akina Bulaya wengine pengine hata kuwazidi hao.
Anaeshikilia msimamo kama huyu amenunuliwa bila kuchukuliwa. Unaweza kumnunua mbuzi halafu ukamuacha palepale kwa mfugaji kwa muda au milele aendelee kuzaa. Akina Nassari na Msigwa walinunuliwa na kuchukuliwa lakini wako wengine wengi tu wamenunuliwa lakini wakabikizwa humohumo ndani ya chama kwa kazi maalumu kama hizo. Wako ndani kupinga kila kitu kitakachoonekana kukiimarisha chama.
 
Back
Top Bottom