Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Hiki chama kinachojinasibu kuwa ndo chama kikuu cha upinzani nchini [whatever that means], bado sana.
Bado hakipo tayari kuongoza nchi. Kinaweza kuwa na miaka 30+ sasa tokea kiundwe, ukweli wa mambo ni kwamba bado hakijakomaa.
Yaani zoezi dogo tu la kupiga kura ndani ya chama kuchagua viongozi wao, wanatumia siku nzima kulikamilisha?
Hawa si watu wa kupewa ridhaa ya kuongoza nchi kwa sasa.
Hawawezi kuendesha chaguzi zao wenyewe zenye wapiga kura 1,000 kwa haraka, ndo wataweza kuongoza watu zaidi ya milioni 60 na taasisi zote za kiserikali zilizopo?
Sidhani.
Iwe iwavyo itavyokuwa, baada ya huu uchaguzi wao itabidi wajiangalie na wajirekebishe katika jinsi wanavyoendesha mambo yao.
Wanaziachia fursa ndogo ndogo kama hizi za kujitenganisha vyema kabisa na CCM, ziwapite.
Walikuwa na muda wote huo wa kujiandaa na huo uchaguzi wao, lakini wapi!”
Mambo kama haya yanapaswa kutokukubalika kabisa la sivyo yataendelea kuwepo na yatakimulika chama katika mwanga ulio hasi.
CHADEMA, do better.