Uchaguzi 2020 CHADEMA isihangaike na Urais imeweka wagombea asilimia tano tu ya majimbo yote ya Tanzania, hawawezi shinda au kuunda Serikali

Tundu lisu anaangalia upepo akiona hakuna kitu kimefanyika kwa wagombea na chama hakina mwelekeo atatokomea kusiko julikana na hiyo tarehe 29 itabaki historia kwa vijana wa ufipa.
 
Unaota lile lilikuwa na majengo mengi ya mbele yalishabomolewa ambayo yaliyokuwa hifadhi ya barabara yaliyobaki yaliyokuwa nyuma naona wewe utakuwa mshamba toka mikoani huwa dar es salaam unakuja mara moja moja kushangaa jiji
 
Tundu lisu anaangalia upepo akiona hakuna kitu kimefanyika kwa wagombea na chama hakina mwelekeo atatokomea kusiko julikana na hiyo tarehe 29 itabaki historia kwa vijana wa ufipa.
Ni kweli ndio maana anatuma wakala kumchukulia fomu huku akiangalia upepo unaendaje anavyozunguka nayo hiyo fomu

Uwezekano wa kurudi haupo mjanja tapeli Lisu.Atawaacha chadema mchana kweupe Kama alivyofanya mwaka Jana watu wakoshona hadi T-shirt na vitenge wapige pesa vikawadodea hakutokea akijitia anaonyesha Hadi booking ya ndege ambayo Alikuwa hata hajalipia Ile unakata online ukifika sehemu ya kuendelea kulipa akasepa aka print akawa anaonyesha kuwa tayari kulipia!!!! Wajinga wakaamini!!

Slaa factor na Lowasa factor ndio iliipaisha Chadema .Bila hizo factor mbili Chadema hakina tofauti na UDP Cha mzee Cheyo!!

Safari hii hawakatizi kinarudi kuungana na UDP kitakuwa hoi bin taabani
 
[emoji3][emoji3][emoji3]Acheni kumhofia gwajima kwa kuijificha kwenye vikashfa vyenu uchwara.

Acheni democrasia itawale, kama suala la kula wafuasi hat mwenyekiti wenu wabunge viti maalum kigezo ni kutafunwa kwanza
Hiyo siyo hoja maana kuna mtu anakula wateule kuanzia barazani hadi mawilayani, ebo!
 
Mbona mnateseka mapema hivi? Kama mnajiamini tulieni mpaka mwisho wa mchezo,naona mko.kama Yanga kelele na tambo kibao lakini mwisho wa siku mnavuna aibu.
 
Kwa jinsi ccm waliokuwa wanasema kuwa cdm imekufa, sikutegemea Kama mwaka huu mapokezi ya cdm yangekuwa makubwa kiasi hiki
 
 
Chadema ni mbwembwe za mitandaoni tu ila huku kitaa akipo kabisa.wanazidiwa mbali sana na ACT.
 
baada ya kilipwa Buku 7 na Slow Slow ndio umekuja kuhara hapa?
 
Wewe kama unaugomvi na Chadema pambana naye sio kumgombanisha na ACT. Hiyo mbinu imekuwa mbwinyu ya kizamani
kwani cdm na act hawana ugomvi?.
Mbowe alimfukuza Zito kama mbwa.
akuna tena mbeleko ya ukawa.
kilamtu ashinde mechi zake.
 
NIMESIKIA JOHN MNYIKA HAGOMBEI KIBAMBA ...NIWASHAURI CHADEMA ILI KULETA UWIANO MZURI .....WAFANYE MABADILIKO KIDOGO
KIBAMBA - AGOMBEE MEYA JACOB
UBUNGO -KUBENEA
OR VICE VERSA
 
NIMESIKIA JOHN MNYIKA HAGOMBEI KIBAMBA ...NIWASHAURI CHADEMA ILI KULETA UWIANO MZURI .....WAFANYE MABADILIKO KIDOGO
KIBAMBA - AGOMBEE MEYA JACOB
UBUNGO -KUBENEA
OR VICE VERSA
Kubenea kakataa hagombei tena kupitia Chadema katamka mwenyewe
Chadema inasuswa
 
Unaweza kuthibitisha huu uzushi wako ?
 
kwani cdm na act hawana ugomvi?.
Mbowe alimfukuza Zito kama mbwa.
akuna tena mbeleko ya ukawa.
kilamtu ashinde mechi zake.
Zitto sio ACT na Mbowe sio Chadema. Hayo maamuzi ya chama yanahusianaje na mtu individual?
Unless huna akili ndio waweza kuona kwa muono huo kwamba ni kitu kimoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…