Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
naendelea kukupa evidence, huwa siandiki kwa mzukaUnaota lile lilikuwa na majengo mengi ya mbele yalishabomolewa ambayo yaliyokuwa hifadhi ya barabara yaliyobaki yaliyokuwa nyuma naona wewe utakuwa mshamba toka mikoani huwa dar es salaam unakuja mara moja moja kushangaa jiji
Unaota lile lilikuwa na majengo mengi ya mbele yalishabomolewa ambayo yaliyokuwa hifadhi ya barabara yaliyobaki yaliyokuwa nyuma naona wewe utakuwa mshamba toka mikoani huwa dar es salaam unakuja mara moja moja kushangaa jiji
Unaakiri sawasawa?CHADEMA CHAMA CHA MUNGU
MMEPAMBANA WENYEWE LAKINI BADO MNA HOFU. TULIZA KIPELEE ICHO
Ni kweli ndio maana anatuma wakala kumchukulia fomu huku akiangalia upepo unaendaje anavyozunguka nayo hiyo fomuTundu lisu anaangalia upepo akiona hakuna kitu kimefanyika kwa wagombea na chama hakina mwelekeo atatokomea kusiko julikana na hiyo tarehe 29 itabaki historia kwa vijana wa ufipa.
Hiyo siyo hoja maana kuna mtu anakula wateule kuanzia barazani hadi mawilayani, ebo![emoji3][emoji3][emoji3]Acheni kumhofia gwajima kwa kuijificha kwenye vikashfa vyenu uchwara.
Acheni democrasia itawale, kama suala la kula wafuasi hat mwenyekiti wenu wabunge viti maalum kigezo ni kutafunwa kwanza
Mbona mnateseka mapema hivi? Kama mnajiamini tulieni mpaka mwisho wa mchezo,naona mko.kama Yanga kelele na tambo kibao lakini mwisho wa siku mnavuna aibu.CHADEMA isihangaike na uraisi imeweka wagombea ubunge asilimia tano tu ya majimbo yote ya Tanzania hawawezi shinda au kuunda serikali.
CHADEMA walioomba kuteuliwa na chama kugombea ubunge wameomba majimbo asilimia tano tu ya mnajimbo yote ya uchaguzi Tanzania, asilimia 95 ya majimbo hakuna mgombea wa CHADEMA. CCM IMEJAZA MAJIMBO YOTE TANZANIA bara na visiwani. CHADEMA Zanzibari mfano hakuna mgombea ubunge mtia nia kupitia CHADEMA hata mmoja!
Maana yake nini? Ni kuwa hawatakuwa na uwezo wa kuunda serikali!!! na sio rahisi mgombea wao wa Uraisi kushinda.
KibwenguAkili yako haina akili we kibwengu
CHADEMA isihangaike na uraisi imeweka wagombea ubunge asilimia tano tu ya majimbo yote ya Tanzania hawawezi shinda au kuunda serikali.
CHADEMA walioomba kuteuliwa na chama kugombea ubunge wameomba majimbo asilimia tano tu ya mnajimbo yote ya uchaguzi Tanzania, asilimia 95 ya majimbo hakuna mgombea wa CHADEMA. CCM IMEJAZA MAJIMBO YOTE TANZANIA bara na visiwani. CHADEMA Zanzibari mfano hakuna mgombea ubunge mtia nia kupitia CHADEMA hata mmoja!
Maana yake nini? Ni kuwa hawatakuwa na uwezo wa kuunda serikali!!! na sio rahisi mgombea wao wa Uraisi kushinda.
[/QUOTE
Toka lini umekuwa mshauri wa cdm mmesema imekufa mnahangaika nn
Mbowe kumbe ni mungu siku hizi!CHADEMA CHAMA CHA MUNGU. MMEPAMBANA WENYEWE LAKINI BADO MNA HOFU. TULIZA KIPELEE ICHO
baada ya kilipwa Buku 7 na Slow Slow ndio umekuja kuhara hapa?CHADEMA isihangaike na uraisi imeweka wagombea ubunge asilimia tano tu ya majimbo yote ya Tanzania hawawezi shinda au kuunda serikali.
CHADEMA walioomba kuteuliwa na chama kugombea ubunge wameomba majimbo asilimia tano tu ya mnajimbo yote ya uchaguzi Tanzania, asilimia 95 ya majimbo hakuna mgombea wa CHADEMA. CCM IMEJAZA MAJIMBO YOTE TANZANIA bara na visiwani. CHADEMA Zanzibari mfano hakuna mgombea ubunge mtia nia kupitia CHADEMA hata mmoja!
Maana yake nini? Ni kuwa hawatakuwa na uwezo wa kuunda serikali!!! na sio rahisi mgombea wao wa Uraisi kushinda.
Wewe kama unaugomvi na Chadema pambana naye sio kumgombanisha na ACT. Hiyo mbinu imekuwa mbwinyu ya kizamaniChadema ni mbwembwe za mitandaoni tu ila huku kitaa akipo kabisa.wanazidiwa mbali sana na ACT.
kwani cdm na act hawana ugomvi?.Wewe kama unaugomvi na Chadema pambana naye sio kumgombanisha na ACT. Hiyo mbinu imekuwa mbwinyu ya kizamani
Kubenea kakataa hagombei tena kupitia Chadema katamka mwenyeweNIMESIKIA JOHN MNYIKA HAGOMBEI KIBAMBA ...NIWASHAURI CHADEMA ILI KULETA UWIANO MZURI .....WAFANYE MABADILIKO KIDOGO
KIBAMBA - AGOMBEE MEYA JACOB
UBUNGO -KUBENEA
OR VICE VERSA
Unaweza kuthibitisha huu uzushi wako ?CHADEMA isihangaike na uraisi imeweka wagombea ubunge asilimia tano tu ya majimbo yote ya Tanzania hawawezi shinda au kuunda serikali.
CHADEMA walioomba kuteuliwa na chama kugombea ubunge wameomba majimbo asilimia tano tu ya mnajimbo yote ya uchaguzi Tanzania, asilimia 95 ya majimbo hakuna mgombea wa CHADEMA. CCM IMEJAZA MAJIMBO YOTE TANZANIA bara na visiwani. CHADEMA Zanzibari mfano hakuna mgombea ubunge mtia nia kupitia CHADEMA hata mmoja!
Maana yake nini? Ni kuwa hawatakuwa na uwezo wa kuunda serikali!!! na sio rahisi mgombea wao wa Uraisi kushinda.
Zitto sio ACT na Mbowe sio Chadema. Hayo maamuzi ya chama yanahusianaje na mtu individual?kwani cdm na act hawana ugomvi?.
Mbowe alimfukuza Zito kama mbwa.
akuna tena mbeleko ya ukawa.
kilamtu ashinde mechi zake.