Uchaguzi 2020 CHADEMA isihangaike na Urais imeweka wagombea asilimia tano tu ya majimbo yote ya Tanzania, hawawezi shinda au kuunda Serikali

Zitto sio ACT na Mbowe sio Chadema. Hayo maamuzi ya chama yanahusianaje na mtu individual?
Unless huna akili ndio waweza kuona kwa muono huo kwamba ni kitu kimoja.
Act ni ya Zito na Cdm ni saccos ya Mbowe kamwe huwezi tenganisha.
mwaka huu akuna mbeleko kilamtu ashinde mechi zake.
 
Act ni ya Zito na Cdm ni saccos ya Mbowe kamwe huwezi tenganisha.
mwaka huu akuna mbeleko kilamtu ashinde mechi zake.
Werevu walitufundisha "never argue with a fool, people mighty not notice the difference". Naheshimu sana mafundisho hayo.
 
Werevu walitufundisha "never argue with a fool, people mighty not notice the difference". Naheshimu sana mafundisho hayo.
haaa wapi akuna mbeleko mwaka huu.kilamtu apambane na hali yake.mbeleko ya ukawa amuipati tena.
 

Cdm haiwezi kufa kwa kukosa kura, bali inaweza kufanyiwa siasa za kishenzi, kikatili na kihayawani. Siasa hizo za kishenzi tu ndio zinaweza kuinyima nafasi ya kufanya siasa, na sio kinyume chake.
 
Kubenea anagombea kupitia NCCR
kumbe alishahama....ni wale walio ahidiwa viti 30 vya bure na rais ....ninavyoona hali ya hewa uchaguzi huu inabadilika ghafla ....rais atapita ...ila sijui kwa asilimia ngapi ...ila majimboni kama hawatafanya hujuma na uhuni kama uchaguzi wa serikali za mitaaa ....kuna uwezekano wapinzani wakapata viti vingi kuliko 2015...
Na kama watalazimisha uhuni kama wa serikali za mitaaa kuna muelekeo mkubwa wa umwagikaji mkubwa wa damu ......na dalili zote zinaonyesha watataka kupitisha wabunge kihuni bila kupingwa
 
UMEONGEA UTUMBO WEWE MBOGAMBOGA
 
Lile Jiwe lenu la tumbawe, mara hii linaenda kupasuliwa vipandevipande na mtu mmoja hivi anaitwa Tundu Lissu.
 
Ni kama Meko anavyomtafuna Jok#te
[emoji3][emoji3][emoji3]Acheni kumhofia gwajima kwa kuijificha kwenye vikashfa vyenu uchwara.

Acheni democrasia itawale, kama suala la kula wafuasi hat mwenyekiti wenu wabunge viti maalum kigezo ni kutafunwa kwanza
 
Wanasubiri hao watakaokatwa CCM wawasajili kugombea.

BTW: Hesabu za CDM hazitofautiani na zile za kilimo cha matikiti kwa pdf.

Heka moja kutoa 50M faida kwa msimu mmoja.
Nimepoteza dakika moja nikijaribu kulielewa na kuliwazia hili!

Mstari wa pili na watatu hauleti mantiki yoyote.

Jaribu tena.
 
Kadanganyane na mkeo! Hebu weka ushahidi kwamba Chadema wameweka wagombea asilimia 5 tu ya majimbo yote? Safari hii naona mmepagawa!
 
hangaika kwanza na vita iliyopo yako kati ya wahamiaji ( migrants) na wafia chama!!

Wafia chama hawana furaha ndani ya chama chao wanachokipigania kuga kuona baada ya wahamiaji kubeba teuzi zote!!
 
Utakua mchawi au mganga wankienyeji na bado kijana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…