Huna kazi ya kufanya wewe kutwa kufuatilia maisha ya watu.Chadema iko katika hali mbaya mno kwa sasa, imefika wakati vijana ambao ndio tegemeo la chama wamekuwa wendawazimu, TWAHA MWAIPAYA badala ya kujenga hoja na kukosoa kwa fact
Leo Twaha, ameshindwa kutofautisha maendeleo ya awamu ya sita na kipindi awamu ya tatu ya serikali ilipokuwa inaanzisha Taasisi mbalimbali baada ya kufanya ubinafsishaji wa mashirika.
Mfano wa Twaha Mwaipaya unaibua maswali juu ya umakini na uelewa wa masuala ya kitaifa, hasa pale anaposhindwa kutofautisha muktadha wa maendeleo ya sasa na vipindi vya nyuma vya serikali. Siasa zinahitaji hoja, si mihemko.
Tangu Machi 2021, Rais Samia Suluhu Hassan ameongoza mageuzi yenye msingi wa 4R (Maridhiano, Mageuzi, Ustahimilivu na Ujenzi upya), akilenga kuifikisha Tanzania kwenye uchumi wa kipato cha juu ifikapo 2050. Huu ni mwelekeo wa kimkakati, si maneno matupu.
Uchumi umeendelea kuimarika kwa kasi, uwekezaji wa nje umeongezeka, ajira zimezalishwa, na sekta kama madini, kilimo na utalii zimepata msukumo mpya. Haya ni matokeo yanayoonekana.
Serikali imewekeza kwa nguvu katika miundombinu mikubwa kama reli ya kisasa (SGR), Mradi wa Umeme wa Julius Nyerere (JNHPP), pamoja na uboreshaji wa viwanja vya ndege na bandari, jambo linaloifanya Tanzania kuwa kitovu cha biashara Afrika Mashariki na Kati.
Katika sekta ya afya, ujenzi wa hospitali, upatikanaji wa vifaa tiba na mpango wa Bima ya Afya kwa Wote umeongeza huduma kwa wananchi na kupunguza changamoto za matibabu.
Elimu nayo imeimarishwa kupitia mageuzi ya sera, ufadhili wa masomo na uwekezaji katika rasilimali watu, hatua inayojenga msingi wa taifa lenye ujuzi na ushindani.
Kilimo kimepata nguvu mpya kupitia miradi ya umwagiliaji, pembejeo na masoko, hivyo kuongeza uzalishaji na kipato cha wakulima, ambao ndio uti wa mgongo wa uchumi.
Wanawake na vijana wamewezeshwa zaidi kiuchumi na kushirikishwa katika uongozi, huku diplomasia ya kimataifa ikiimarishwa na kuleta fursa zaidi za uwekezaji na ushirikiano.
Kwa ujumla, Tanzania inaonyesha mwelekeo thabiti wa maendeleo unaohitaji kulindwa. Vyama vya upinzani vinapaswa kurejea kwenye siasa za hoja na sera; vinginevyo vitapoteza dira na imani ya wananchi na hapo ndipo mfano wa “kuku aliyekatwa kichwa” unakuwa halisi.
Naunga mkono hoja, Tanzania inaonyesha mwelekeo thabiti wa maendeleo unaohitaji kulindwa. Vyama vya upinzani vinapaswa kurejea kwenye siasa za hoja na sera; vinginevyo vitapoteza dira na imani ya wananchi na hapo ndipo mfano wa “kuku aliyekatwa kichwa” unakuwa halisi.
ChaiChadema iko katika hali mbaya mno kwa sasa, imefika wakati vijana ambao ndio tegemeo la chama wamekuwa wendawazimu, TWAHA MWAIPAYA badala ya kujenga hoja na kukosoa kwa fact
Leo Twaha, ameshindwa kutofautisha maendeleo ya awamu ya sita na kipindi awamu ya tatu ya serikali ilipokuwa inaanzisha Taasisi mbalimbali baada ya kufanya ubinafsishaji wa mashirika.
Mfano wa Twaha Mwaipaya unaibua maswali juu ya umakini na uelewa wa masuala ya kitaifa, hasa pale anaposhindwa kutofautisha muktadha wa maendeleo ya sasa na vipindi vya nyuma vya serikali. Siasa zinahitaji hoja, si mihemko.
Tangu Machi 2021, Rais Samia Suluhu Hassan ameongoza mageuzi yenye msingi wa 4R (Maridhiano, Mageuzi, Ustahimilivu na Ujenzi upya), akilenga kuifikisha Tanzania kwenye uchumi wa kipato cha juu ifikapo 2050. Huu ni mwelekeo wa kimkakati, si maneno matupu.
Uchumi umeendelea kuimarika kwa kasi, uwekezaji wa nje umeongezeka, ajira zimezalishwa, na sekta kama madini, kilimo na utalii zimepata msukumo mpya. Haya ni matokeo yanayoonekana.
Serikali imewekeza kwa nguvu katika miundombinu mikubwa kama reli ya kisasa (SGR), Mradi wa Umeme wa Julius Nyerere (JNHPP), pamoja na uboreshaji wa viwanja vya ndege na bandari, jambo linaloifanya Tanzania kuwa kitovu cha biashara Afrika Mashariki na Kati.
Katika sekta ya afya, ujenzi wa hospitali, upatikanaji wa vifaa tiba na mpango wa Bima ya Afya kwa Wote umeongeza huduma kwa wananchi na kupunguza changamoto za matibabu.
Elimu nayo imeimarishwa kupitia mageuzi ya sera, ufadhili wa masomo na uwekezaji katika rasilimali watu, hatua inayojenga msingi wa taifa lenye ujuzi na ushindani.
Kilimo kimepata nguvu mpya kupitia miradi ya umwagiliaji, pembejeo na masoko, hivyo kuongeza uzalishaji na kipato cha wakulima, ambao ndio uti wa mgongo wa uchumi.
Wanawake na vijana wamewezeshwa zaidi kiuchumi na kushirikishwa katika uongozi, huku diplomasia ya kimataifa ikiimarishwa na kuleta fursa zaidi za uwekezaji na ushirikiano.
Kwa ujumla, Tanzania inaonyesha mwelekeo thabiti wa maendeleo unaohitaji kulindwa. Vyama vya upinzani vinapaswa kurejea kwenye siasa za hoja na sera; vinginevyo vitapoteza dira na imani ya wananchi na hapo ndipo mfano wa “kuku aliyekatwa kichwa” unakuwa halisi.
Hivi tangu uwe mwanasheria kuna kesi yoyote uliisimamia ukashinda?Naunga mkono hoja
P
No sijawahi kusimamia kesi yoyoteHivi tangu uwe mwanasheria kuna kesi yoyote uliisimamia ukashinda?
Unahangaika sana kama kuku aliyekatwa kichwa, shida yako nini?Chadema iko katika hali mbaya mno kwa sasa, imefika wakati vijana ambao ndio tegemeo la chama wamekuwa wendawazimu, TWAHA MWAIPAYA badala ya kujenga hoja na kukosoa kwa fact
Leo Twaha, ameshindwa kutofautisha maendeleo ya awamu ya sita na kipindi awamu ya tatu ya serikali ilipokuwa inaanzisha Taasisi mbalimbali baada ya kufanya ubinafsishaji wa mashirika.
Mfano wa Twaha Mwaipaya unaibua maswali juu ya umakini na uelewa wa masuala ya kitaifa, hasa pale anaposhindwa kutofautisha muktadha wa maendeleo ya sasa na vipindi vya nyuma vya serikali. Siasa zinahitaji hoja, si mihemko.
Tangu Machi 2021, Rais Samia Suluhu Hassan ameongoza mageuzi yenye msingi wa 4R (Maridhiano, Mageuzi, Ustahimilivu na Ujenzi upya), akilenga kuifikisha Tanzania kwenye uchumi wa kipato cha juu ifikapo 2050. Huu ni mwelekeo wa kimkakati, si maneno matupu.
Uchumi umeendelea kuimarika kwa kasi, uwekezaji wa nje umeongezeka, ajira zimezalishwa, na sekta kama madini, kilimo na utalii zimepata msukumo mpya. Haya ni matokeo yanayoonekana.
Serikali imewekeza kwa nguvu katika miundombinu mikubwa kama reli ya kisasa (SGR), Mradi wa Umeme wa Julius Nyerere (JNHPP), pamoja na uboreshaji wa viwanja vya ndege na bandari, jambo linaloifanya Tanzania kuwa kitovu cha biashara Afrika Mashariki na Kati.
Katika sekta ya afya, ujenzi wa hospitali, upatikanaji wa vifaa tiba na mpango wa Bima ya Afya kwa Wote umeongeza huduma kwa wananchi na kupunguza changamoto za matibabu.
Elimu nayo imeimarishwa kupitia mageuzi ya sera, ufadhili wa masomo na uwekezaji katika rasilimali watu, hatua inayojenga msingi wa taifa lenye ujuzi na ushindani.
Kilimo kimepata nguvu mpya kupitia miradi ya umwagiliaji, pembejeo na masoko, hivyo kuongeza uzalishaji na kipato cha wakulima, ambao ndio uti wa mgongo wa uchumi.
Wanawake na vijana wamewezeshwa zaidi kiuchumi na kushirikishwa katika uongozi, huku diplomasia ya kimataifa ikiimarishwa na kuleta fursa zaidi za uwekezaji na ushirikiano.
Kwa ujumla, Tanzania inaonyesha mwelekeo thabiti wa maendeleo unaohitaji kulindwa. Vyama vya upinzani vinapaswa kurejea kwenye siasa za hoja na sera; vinginevyo vitapoteza dira na imani ya wananchi na hapo ndipo mfano wa “kuku aliyekatwa kichwa” unakuwa halisi.
Nyie wajinga si mlisema chadema imekufa. Leo bado mnatambua chadema haijafa ndio maana huwa nawaita wafuasi wa ccm ni nguruwe ambaye hata mavi yake anakula.Chadema iko katika hali mbaya mno kwa sasa, imefika wakati vijana ambao ndio tegemeo la chama wamekuwa wendawazimu, TWAHA MWAIPAYA badala ya kujenga hoja na kukosoa kwa fact
Leo Twaha, ameshindwa kutofautisha maendeleo ya awamu ya sita na kipindi awamu ya tatu ya serikali ilipokuwa inaanzisha Taasisi mbalimbali baada ya kufanya ubinafsishaji wa mashirika.
Mfano wa Twaha Mwaipaya unaibua maswali juu ya umakini na uelewa wa masuala ya kitaifa, hasa pale anaposhindwa kutofautisha muktadha wa maendeleo ya sasa na vipindi vya nyuma vya serikali. Siasa zinahitaji hoja, si mihemko.
Tangu Machi 2021, Rais Samia Suluhu Hassan ameongoza mageuzi yenye msingi wa 4R (Maridhiano, Mageuzi, Ustahimilivu na Ujenzi upya), akilenga kuifikisha Tanzania kwenye uchumi wa kipato cha juu ifikapo 2050. Huu ni mwelekeo wa kimkakati, si maneno matupu.
Uchumi umeendelea kuimarika kwa kasi, uwekezaji wa nje umeongezeka, ajira zimezalishwa, na sekta kama madini, kilimo na utalii zimepata msukumo mpya. Haya ni matokeo yanayoonekana.
Serikali imewekeza kwa nguvu katika miundombinu mikubwa kama reli ya kisasa (SGR), Mradi wa Umeme wa Julius Nyerere (JNHPP), pamoja na uboreshaji wa viwanja vya ndege na bandari, jambo linaloifanya Tanzania kuwa kitovu cha biashara Afrika Mashariki na Kati.
Katika sekta ya afya, ujenzi wa hospitali, upatikanaji wa vifaa tiba na mpango wa Bima ya Afya kwa Wote umeongeza huduma kwa wananchi na kupunguza changamoto za matibabu.
Elimu nayo imeimarishwa kupitia mageuzi ya sera, ufadhili wa masomo na uwekezaji katika rasilimali watu, hatua inayojenga msingi wa taifa lenye ujuzi na ushindani.
Kilimo kimepata nguvu mpya kupitia miradi ya umwagiliaji, pembejeo na masoko, hivyo kuongeza uzalishaji na kipato cha wakulima, ambao ndio uti wa mgongo wa uchumi.
Wanawake na vijana wamewezeshwa zaidi kiuchumi na kushirikishwa katika uongozi, huku diplomasia ya kimataifa ikiimarishwa na kuleta fursa zaidi za uwekezaji na ushirikiano.
Kwa ujumla, Tanzania inaonyesha mwelekeo thabiti wa maendeleo unaohitaji kulindwa. Vyama vya upinzani vinapaswa kurejea kwenye siasa za hoja na sera; vinginevyo vitapoteza dira na imani ya wananchi na hapo ndipo mfano wa “kuku aliyekatwa kichwa” unakuwa halisi.
Jitahidi usimamie kesi uone kipute.No sijawahi kusimamia kesi yoyote
P.
Siku hizi yuko jambo tv ameenda kujifanya neutralizer akiona ccm inapigwa spana utamuona anajifanta eti hapo tuipe pongez serikali maana inafanya kazi nzuri. Huyo jamaa ameshakuwa na upuuzi mwingi zaman nilikuwa nafikiri ni mtu wa maana kumbe empty set.Hivi tangu uwe mwanasheria kuna kesi yoyote uliisimamia ukashinda?
😂😂😂😂😂😂😂😂Huyo jamaa ameshakuwa na upuuzi mwingi zaman nilikuwa nafikiri ni mtu wa maana kumbe empty set.
Mwamba huyu hapa, kiboko ya CCM!Chadema iko katika hali mbaya mno kwa sasa, imefika wakati vijana ambao ndio tegemeo la chama wamekuwa wendawazimu, TWAHA MWAIPAYA badala ya kujenga hoja na kukosoa kwa fact
Leo Twaha, ameshindwa kutofautisha maendeleo ya awamu ya sita na kipindi awamu ya tatu ya serikali ilipokuwa inaanzisha Taasisi mbalimbali baada ya kufanya ubinafsishaji wa mashirika.
Mfano wa Twaha Mwaipaya unaibua maswali juu ya umakini na uelewa wa masuala ya kitaifa, hasa pale anaposhindwa kutofautisha muktadha wa maendeleo ya sasa na vipindi vya nyuma vya serikali. Siasa zinahitaji hoja, si mihemko.
Tangu Machi 2021, Rais Samia Suluhu Hassan ameongoza mageuzi yenye msingi wa 4R (Maridhiano, Mageuzi, Ustahimilivu na Ujenzi upya), akilenga kuifikisha Tanzania kwenye uchumi wa kipato cha juu ifikapo 2050. Huu ni mwelekeo wa kimkakati, si maneno matupu.
Uchumi umeendelea kuimarika kwa kasi, uwekezaji wa nje umeongezeka, ajira zimezalishwa, na sekta kama madini, kilimo na utalii zimepata msukumo mpya. Haya ni matokeo yanayoonekana.
Serikali imewekeza kwa nguvu katika miundombinu mikubwa kama reli ya kisasa (SGR), Mradi wa Umeme wa Julius Nyerere (JNHPP), pamoja na uboreshaji wa viwanja vya ndege na bandari, jambo linaloifanya Tanzania kuwa kitovu cha biashara Afrika Mashariki na Kati.
Katika sekta ya afya, ujenzi wa hospitali, upatikanaji wa vifaa tiba na mpango wa Bima ya Afya kwa Wote umeongeza huduma kwa wananchi na kupunguza changamoto za matibabu.
Elimu nayo imeimarishwa kupitia mageuzi ya sera, ufadhili wa masomo na uwekezaji katika rasilimali watu, hatua inayojenga msingi wa taifa lenye ujuzi na ushindani.
Kilimo kimepata nguvu mpya kupitia miradi ya umwagiliaji, pembejeo na masoko, hivyo kuongeza uzalishaji na kipato cha wakulima, ambao ndio uti wa mgongo wa uchumi.
Wanawake na vijana wamewezeshwa zaidi kiuchumi na kushirikishwa katika uongozi, huku diplomasia ya kimataifa ikiimarishwa na kuleta fursa zaidi za uwekezaji na ushirikiano.
Kwa ujumla, Tanzania inaonyesha mwelekeo thabiti wa maendeleo unaohitaji kulindwa. Vyama vya upinzani vinapaswa kurejea kwenye siasa za hoja na sera; vinginevyo vitapoteza dira na imani ya wananchi na hapo ndipo mfano wa “kuku aliyekatwa kichwa” unakuwa halisi.
Yuko Kabatini😂😂Mwamba huyu hapa, kiboko ya CCM!
View attachment 3559941
Yuko Kabatini😂😂
Haya mtoeni humo kabatini muone moto wake, kengemaji nyie.Yuko Kabatini😂😂
Hapana mimi sio wakili wa litigations,mimi ni wakili wa legal opinionJitahidi usimamie kesi uone kipute.
Ni kweli maana nyie wanasiasa wenzake hamumuwezi.Yuko Kabatini😂😂