CHADEMA isipojirekebisha, ina hatari ya kuwa kama kuku aliyekatwa kichwa

Mbona kile chama kibovu chakavu ni kama pannya aliyenaswa na mtego mbovu?
 
Mwenyekiti wa chama ni Lisu, hivi unategemea kweli hicho chama kina uwezo wa kujirekebisha? Huo uwezo utayoka wapi? Taasisi yoyote inayoongozwa na watu wenye hulka ya kujifanya wanajua kila kitu, na ni wao tu ndio wanaojua (wajuaji), haiwezi kupata uwezo wa kujirekebisha.
 
Naona mmeambiwa muanzishe uzi zinazofanana kupoteza wajinga!

Ccm imeua na kuzika watu wengi mno october!
Uchaguzi wameiba!

Hawa ndio wanashida kubwa kuliko kipindi kingine chochote!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…