Maige Chagu
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 237
- 245
lissu siyo wakuzungumzia tena kwa kuwa atashindwa vibaya mno kwenye uchaguzi,angegombea udiwani tu kwa kuwa hata ubunge asingemuweza comrade Miraji Mtaturu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo bahati mbaya na ni afadhali waendelee na hiyo strategy kwa sababu wakienda pembezoni mwitikio ni mdogo mno, inaweza kuwafanya wakate tamaa, so kutumia miji inaweza kuwabeba ma kuwafanya waendelee kusikika, then hako ka vibe ka town centers ndiko washuke nako kwenye vijiji.Dah umeona eh!
Strategy ya kampeni ya Magufuli ya kupiga hadi ndani ndani vitongojini ni more effective kuliko ya kutegemea City/Town centers ambayo Chadema wanatumia
Ww ukizeeka utakuwa mwanga!CHADEMA NAOMBA MUNGU MSHINDWE MIAKA YOTE YA UCHAGUZI NA CHAMA CHENU KIFUNGIWE MAFISADI WAKUBWA NA LEMA ASHINDWE UBUNGE WA ARUSHA HILI LIKITU NI TAPELI
Hata hujaelewa utaratibu wa Kampeni za Chadema, kwa sasa walianza na Kanda kwanza, kinachofuata Sasa ni Kampeni Mtaa kwa Mtaa, na Sasa wamemwahi Magu kufika katika miji mikuu yote meaning kazi ya Magufuli Sasa ni kwenda katika maeneo hayo alikowahiwa kujitetea na kujisafisha, hawezi tena kunadi Sera zake
Je wewe ukizeeka utakuwa zuzuWw ukizeeka utakuwa mwanga!