Uchaguzi 2020 CHADEMA itachaguliwa na nani?

Joined
Sep 1, 2020
Posts
86
Reaction score
41
*CHADEMA WATACHAGULIWA NA NANI?.*

Chadema wanataka kuchukua dola lakini mpaka sasa wameshagombana karibu na kila chombo wanachotaka kwenda kukiongoza.

Polisi hawafai

Mahakama Haifai

Takukuru Haifai

Usalama Haufai

Tbc Hawafai

Clouds Hawafai

Uhuru Hawafai

Channel Ten Hawafai

Tume Ya Uchaguzi Haifai

Wakurugenzi Hawafai

Mawaziri Hawafai

Ma-Rc Hawafai

Ma-Dc Hawafai

Wanataaluma ndo Hovyo Kabisa

Wenyeviti wa mitaa Hawafai

Kila jambo na kila mtu kwao hafai

Sasa katika kundi kubwa namna hii ambalo kwao ndilo halifai ndo wanashiriki mchakato wa kupiga kura.
 
Mifumo ya hivyo vyombo ndio haifai

Amini usiamini hivyo vyombo vyenyewe watu wake watampigia kura LISSU
 
Mifumo inayoongoza hizo taasisi ndo haifai, na itabadilishwa baada ya tarehe 28/10/2020
 
*CHADEMA WATACHAGULIWA NA NANI?.*

Chadema wanataka kuchukua dola lakini mpaka sasa wameshagombana karibu na kila chombo wanachotaka kwenda kukiongoza.

Polisi hawafai

Mahakama Haifai....
Ccm Zanzibar inatia huruma .
Mgombea Urais Wanapewa
Wabunge wanapewa
Hata wawakilishi wanapewa kutoka Dodoma.

Tukumbuke ASP+TANU =CCM
Lakini Zanzibar hawezi kutoa M/Kiti wala SG

Kuna Makamu Wenyeviti 2

Akifa M/Kiti wao wa taifa anachukua nafasia Makamu wa Bara Ccm
Kwa ufupi Ccm Zanzibar Kama Tawi la Ccm Mtwara.

Wanzazibar hamkeni.
 
Wana misukule yao wanaifuga ipo mitandaoni labda wanaitegemea hiyo.
 
CHADEMA inachaguliwa na wananchi makini na sio kikundi kidogo cha watu.
Kama mnavyosema wafanya kazi wana kundi la watu basi hata hao wana kundi la watu! Sasa mtachaguliwa na nani?
 
Chadema kwao akuna mzuri,kila taasisi iwe ya serikali ama binafsi kwao nimbaya,walianzisha kampeni ya kukataa mtandao mmoja wa mawasiliano lakini cha kushangaza huo mtandao ndo unatumika kuombaomba fedha.
 


Vyombo vingi ya hivyo ulivyovitaja ni vyombo vya umma vikiwa chini ya CCM.

CCM na serikali yake inaviamrisha vyombo hivyo kutekeleza yale mambo inayoyataka na vile visivyokuwa vya umma vinatishwa na hivyo kulazimika kutii serikali kwa kulazimishwa.

Chadema itakaposhika madaraka ni lazima ifanye marekebisho juu ya vyyombo hivyo ili vitende kazi na majukumu yao kulingana na sheria na kanuni zilizokuwepo au zitakazotungwa.

Vyombo hivyo ni kama gari na dereva, dereva anaweza kubadilika wakati wowote lakini gari haliwezi kubadilika isipokuwa linaweza kufanyiwa matengenezo (overhaul maintenance), gari ni vyombo na dereva ni kiongozi.

✌🏻✌🏻✌🏻2020✌🏻✌🏻✌🏻
πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“

"uhuru haki na kazi"
 
Kwa CDM kila taasis haifai kasoro wao tu, hadi Simba na Yanga hazifai, chama rafiki kwao ACT wazalendo wanakizodoa pia, wana gubu kama la mke mdogo, Oct 28 ni mwendo wa kupigwa spana tu.
 
Nini wewee mbwiga? Unataga? Nakuuliza tena UNATAGA? Na kama Unataga ni lazima utage mayai yako humu jamvini?
 

Hatu HAMKI! Eti hamkeni.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Kwa akili yako unafikiri hizo taasisi hazina wananchi nyuma yake? Una akili za kitoto sana!
Makundi yote haya yatampigia kura Lissu.
Maana makundi haya yote yanajua kuwa wapo kifungoni na kukandamizwa na utawala dhalimu.

Makundi haya yalifanya ubaya huku nafsi zikiuma.
Sasa yaona mkombozi wao amefika kuwatoa kwenye makucha ya jini subiani. Watapiga hao wote, na huu ndiyo ukweli

MTAKOMA MWAKA HUU
 
Hahhahha,,,,,,,,
Hawa watajichagua wao wenyewe na wale wasio na utashi wa kutambua mambo kwani hakuna mtanzania anaetaka viongozi wagomvi na wasio na maelewano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…