Uchaguzi 2020 CHADEMA itachaguliwa na nani?

Uchaguzi 2020 CHADEMA itachaguliwa na nani?

*CHADEMA WATACHAGULIWA NA NANI?.*

Chadema wanataka kuchukua dola lakini mpaka sasa wameshagombana karibu na kila chombo wanachotaka kwenda kukiongoza.

Polisi hawafai

Mahakama Haifai

Takukuru Haifai

Usalama Haufai

Tbc Hawafai

Clouds Hawafai

Uhuru Hawafai

Channel Ten Hawafai

Tume Ya Uchaguzi Haifai

Wakurugenzi Hawafai

Mawaziri Hawafai

Ma-Rc Hawafai

Ma-Dc Hawafai

Wanataaluma ndo Hovyo Kabisa

Wenyeviti wa mitaa Hawafai

Kila jambo na kila mtu kwao hafai

Sasa katika kundi kubwa namna hii ambalo kwao ndilo halifai ndo wanashiriki mchakato wa kupiga kura.
mifumo inaanza upya!
 
Usicho kijua nikwamba tatizo sio hivyo viombo tatizo lipo kwenye mfumo unaoviongoza hivyo viombo kwahiyo kura za lissu zinapatikana hata kwenye hivyo viombo pia maana wako vigungoni
 
*CHADEMA WATACHAGULIWA NA NANI?.*

Chadema wanataka kuchukua dola lakini mpaka sasa wameshagombana karibu na kila chombo wanachotaka kwenda kukiongoza.

Polisi hawafai

Mahakama Haifai

Takukuru Haifai

Usalama Haufai

Tbc Hawafai

Clouds Hawafai

Uhuru Hawafai

Channel Ten Hawafai

Tume Ya Uchaguzi Haifai

Wakurugenzi Hawafai

Mawaziri Hawafai

Ma-Rc Hawafai

Ma-Dc Hawafai

Wanataaluma ndo Hovyo Kabisa

Wenyeviti wa mitaa Hawafai

Kila jambo na kila mtu kwao hafai

Sasa katika kundi kubwa namna hii ambalo kwao ndilo halifai ndo wanashiriki mchakato wa kupiga kura.
Hakuna mpinzani wa kweli ambaye hajagombana na wote hao na tena inashangaza jinsi CDM walivyokuwa wapole na wastaarabu mpaka inaudhi.
 
Kilichowazi na ccm wanajua ni kwamba kwanza hawakushinda Zanzibar wala bara 2015 ndio maana ya rais kutangaza vita dhidi ya upinzani alipoingia tu madarakani. Chaguzi za madiwani na wabunge walionunua wote mnakumbuka ilikuwaje. Watz wanajua nn kilitokea December mwaka jana uchaguzi serikali za mitaa.....
Kimsingi na ccm wanajua hakuna
1. Wakulima
2. Wafanyakazi
3. Wafanyabiashara
4. Wanafunzi
Wakuichagua ccm na ndio chanzo cha haya yote kulazimisha kubaki madarakani kwa nguvu ya tume km alivoahidi rais lkn pia kwa nguvu ya dola km alivyosema Bashiru
 
Chadema wanataka kuchukua dola lakini mpaka sasa wameshagombana karibu na kila chombo wanachotaka kwenda kukiongoza.

Polisi hawafai

Mahakama Haifai

Takukuru Haifai

Usalama Haufai

TBC Hawafai

Clouds Hawafai

Uhuru Hawafai

Channel Ten Hawafai

Tume Ya Uchaguzi Haifai

Wakurugenzi Hawafai

Mawaziri Hawafai

Ma-Rc Hawafai

Ma-Dc Hawafai

Wanataaluma ndo Hovyo Kabisa

Wenyeviti wa mitaa Hawafai

Kila jambo na kila mtu kwao hafai

Sasa katika kundi kubwa namna hii ambalo kwao ndilo halifai ndo wanashiriki mchakato wa kupiga kura.
 
Nitawachagua CHADEMA. Tunahitaji uhuru na maendeleo. Magufuli asituaminishe kuwa ili madaraja yajengwe ni lazima vyombo vya habari visiwe na uhuru, watu wapotee bila maelezo, watu wapigwe risasi, TBC iwe yake tu... Maendeleo yanaweza kupatikana huku kukiwa na uhuru wa kujieleza.

Vyombo huwa vinafumuliwa. Tulivyopata uhuru, tulifumua katiba na vyombo vya kikoloni. Haya mavyombo ya mkoloni mweusi yanafumuliwa tu katika siku za kwanza 100 na maisha yanaendelea.
 
Watachaguliwa na wananchi. Hao uliowataja ni sehemu ndogo sana katika ushindi wa chadema. CCM ndo inawatumia hao, na inajulikana hivyo.

Mbaya zaidi hao wote hawana mamlaka ikishaingia madarakani wanabaki kukupigia saluti tu.
 
Wakulima,wafanyakazi,wafanyabiashara na walalahoi wasio na ajira ndio watawachagua CDM!
 
Watachaguliwa na Vibendera wachache wasio jielewa
 
*CHADEMA WATACHAGULIWA NA NANI?.*

Chadema wanataka kuchukua dola lakini mpaka sasa wameshagombana karibu na kila chombo wanachotaka kwenda kukiongoza.

Polisi hawafai

Mahakama Haifai

Takukuru Haifai

Usalama Haufai

Tbc Hawafai

Clouds Hawafai

Uhuru Hawafai

Channel Ten Hawafai

Tume Ya Uchaguzi Haifai

Wakurugenzi Hawafai

Mawaziri Hawafai

Ma-Rc Hawafai

Ma-Dc Hawafai

Wanataaluma ndo Hovyo Kabisa

Wenyeviti wa mitaa Hawafai

Kila jambo na kila mtu kwao hafai

Sasa katika kundi kubwa namna hii ambalo kwao ndilo halifai ndo wanashiriki mchakato wa kupiga kura.
Labda wachaguliwe na Mabepari wao
 
Back
Top Bottom