johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Hatimaye Sungura akasema "Sizitaki Mbichi Hizi"Naunga mkono hoja, ila pia kwa vile Chadema kinaendeshwa na fedha za ruzuku kutoka kwa msajili wa vyama, hizo ni fedha zetu, hivyo sisi wananchi pia tuna haki ya kutoa maoni yetu yoyote kukihusu Chadema kwasababu ya kodi zetu.
Tunawatakia uchaguzi mwema.
P
Naunga mkono hoja, ila pia kwa vile Chadema kinaendeshwa na fedha za ruzuku kutoka kwa msajili wa vyama, hizo ni fedha zetu, hivyo sisi wananchi pia tuna haki ya kutoa maoni yetu yoyote kukihusu Chadema kwasababu ya kodi zetu.
Kuhusu upinzani Tanzania, tuligundua hili
Upinzani Tanzania una matatizo? Vyama havina Succession Plan hivyo vina Usultani! CHADEMA kuna Usultani? Usultani huu Utakiinua au Utakiangamiza?
Wanabodi, Hili ni bandiko la maswali yenye facts Jee kuna ubishi kuwa Upinzani Tanzania Unamatatizo?. Ni matatizo gani na usaidiweje?. Vyama vingi vya Upinzani Havina Succession Plan, kwanini vyama hivyo havina succession plan na sio tuu kwenye uongozi wa ndani, hata kwenye ubunge na udiwani...www.jamiiforums.com
Na kwa Uchanguzi wa leo, tumewashauri
Nailaumu CHADEMA kuwa hawajui wanataka nini
Wanabodi, Kichwa cha habari cha bandiko hili kinajieleza wazi, hili likiwa ni bandiko la swali, kuwa siku zote huwa nailaumu Chadema kuwa hawajitambui na hawajui wanataka nini!. sasa kesho Chadema wanafanya uchaguzi wa Mwenyekiti, swali ni jee sasa Chadema wanajitambua?, jee wanajua wanataka...www.jamiiforums.com
Tunawatakia uchaguzi mwema.
P
Kwa vile JF kuna wakati mabandiko yanapanda mengi kwa kasi kama umeme, hivyo inawezekana mabandiko haya yalikupitaMbona uchaguzi uliopita haukutoa ushauri kwa CCM?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tangu lini wewe ukaitakia mema cdmNaunga mkono hoja, ila pia kwa vile Chadema kinaendeshwa na fedha za ruzuku kutoka kwa msajili wa vyama, hizo ni fedha zetu, hivyo sisi wananchi pia tuna haki ya kutoa maoni yetu yoyote kukihusu Chadema kwasababu ya kodi zetu.
Kuhusu upinzani Tanzania, tuligundua hili
Upinzani Tanzania una matatizo? Vyama havina Succession Plan hivyo vina Usultani! CHADEMA kuna Usultani? Usultani huu Utakiinua au Utakiangamiza?
Wanabodi, Hili ni bandiko la maswali yenye facts Jee kuna ubishi kuwa Upinzani Tanzania Unamatatizo?. Ni matatizo gani na usaidiweje?. Vyama vingi vya Upinzani Havina Succession Plan, kwanini vyama hivyo havina succession plan na sio tuu kwenye uongozi wa ndani, hata kwenye ubunge na udiwani...www.jamiiforums.com
Na kwa Uchanguzi wa leo, tumewashauri
Nailaumu CHADEMA kuwa hawajui wanataka nini
Wanabodi, Kichwa cha habari cha bandiko hili kinajieleza wazi, hili likiwa ni bandiko la swali, kuwa siku zote huwa nailaumu Chadema kuwa hawajitambui na hawajui wanataka nini!. sasa kesho Chadema wanafanya uchaguzi wa Mwenyekiti, swali ni jee sasa Chadema wanajitambua?, jee wanajua wanataka...www.jamiiforums.com
Tunawatakia uchaguzi mwema.
P
Uko sahihi......la tusiwasahau na akina Cheyo wa UDP kuwapa ushauri!Naunga mkono hoja, ila pia kwa vile Chadema kinaendeshwa na fedha za ruzuku kutoka kwa msajili wa vyama, hizo ni fedha zetu, hivyo sisi wananchi pia tuna haki ya kutoa maoni yetu yoyote kukihusu Chadema kwasababu ya kodi zetu.
Kuhusu upinzani Tanzania, tuligundua hili
Upinzani Tanzania una matatizo? Vyama havina Succession Plan hivyo vina Usultani! CHADEMA kuna Usultani? Usultani huu Utakiinua au Utakiangamiza?
Wanabodi, Hili ni bandiko la maswali yenye facts Jee kuna ubishi kuwa Upinzani Tanzania Unamatatizo?. Ni matatizo gani na usaidiweje?. Vyama vingi vya Upinzani Havina Succession Plan, kwanini vyama hivyo havina succession plan na sio tuu kwenye uongozi wa ndani, hata kwenye ubunge na udiwani...www.jamiiforums.com
Na kwa Uchanguzi wa leo, tumewashauri
Nailaumu CHADEMA kuwa hawajui wanataka nini
Wanabodi, Kichwa cha habari cha bandiko hili kinajieleza wazi, hili likiwa ni bandiko la swali, kuwa siku zote huwa nailaumu Chadema kuwa hawajitambui na hawajui wanataka nini!. sasa kesho Chadema wanafanya uchaguzi wa Mwenyekiti, swali ni jee sasa Chadema wanajitambua?, jee wanajua wanataka...www.jamiiforums.com
Tunawatakia uchaguzi mwema.
P
Ushauri unatolewa only to those who matters most, umeishawahi sio tuu kumsikia Msajili wa vyama akizungumzia uchaguzi wa viongozi wa UDP, TLP or vile vyama vingine 21?. Mzee Cheyo, Mrema, Rungwe kina Dovutwa doesn't matter much.Uko sahihi......la tusiwasahau na akina Cheyo wa UDP kuwapa ushauri!
Mimi Paskali wa JeiEfu, naitakia mema Chadema.Tangu lini wewe ukaitakia mema cdm
Ova
Hongera sana,leo ndyo umekuwa binadamu kamili...endelea kuwa na moyo huo!Kiukweli Chadema itaongozwa na wanachadema wenyewe kama ilivyo UDP ya mzee Cheyo, TLP ya Mrema, Nccr ya Mbatia na Chauma ya mzee Rungwe ambavyo vinaongozwa na wanachama wa vyama husika.
Ya ngoswe mwachie ngoswe.
Sherehe siyo yako kiherehere na masufuria na masinia cha nini?
Kwa niaba yangu mwenyewe na wanalumumba tunawatakia makamanda uchaguzi mwema!
Siasa siyo uadui
Maendeleo hayana vyama!
Siasa siyo uadui bwashee........ Huwezi kuwa na CCM imara bila ya upinzani imara!Hongera sana,leo ndyo umekuwa binadamu kamili...endelea kuwa na moyo huo!
Sent using Jamii Forums mobile app
akaunti yake imetumiwa na mke wake,sio yeye.Siasa siyo uadui bwashee........ Huwezi kuwa na CCM imara bila ya upinzani imara!
Nimo ukumbini ndani ya sare mpya!!CCM wameshindwa kutuma Mwakilishi
Hahahaa Mbwa mwitu ndani ya kundi la KondooNimo ukumbini ndani ya sare mpya!!
Hahahaaa....... Siasa ni sayansi bwashee!Hahahaa Mbwa mwitu ndani ya kundi la Kondoo
Naam, basi nimekubali Ndugu Mwakilishi, tunakusubiri ukatoe nenoHahahaaa....... Siasa ni sayansi bwashee!