CHADEMA itapumua kwa muda kwa press hii ya Askofu Gwajima!

Rabbon

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2022
Posts
25,937
Reaction score
41,161
Salaam!

Yaani hivi sasa masuala ya utekaji yanapingwa huko huko ndani ya chama hadharani.

Hivi sasa CHADEMA itapumua, maana reforms zinaongelewa kule kulle ndani.

Ni kwema mbeleni!

Mungu ibariki nchi YANGU nzuri niipendayo Tanzania 🇹🇿.
 
No Reforms No Election

Nyasongo
 
Amesema haamini, na SI police,jeshi wala usalama wanaoteka watu,

Ni kundi Fulani la mwanasiasa Fulani anayenufaika na mambo haya kisiasa🤔😄
Hakumumunya maneno kwenye hilo. Kaliweka wazi kuwa ni kakikundi kadogo chenye nguvu na baraka za Mamlaka ya teuzi. Je ni nani aliye nyuma ya Gwajiboy?? Amesema vyombo hivi hahiwezi jisemea vyenyewe. Je vyombo hivi vinataka kujitenga na uchafu wa utekaji??
 
Kuhusu Gwajima ni nani hasa,

Nitakuambia,

Ni mtu sahihi wa kutufikisha caanani kwa nyakati hizi.

Tusubiri 🙏
 
Watanzania tumemshitakia Mungu kwa haya mabaya sana ya utekaji na uuaji.
Ee Mungu wa majeshi tenda bwana.
Yanaumza sana.Mungu wewe upo bwana.
Usililie uvunguni.

Toka upaze sauti, ndio hasa tafsiri ya Mwanaume.

Mlinzi wa family,JAMII na nchi kwa ujumla.
 
S
Salaam!

Yaani hivi sasa masuala ya utekajizaz yanapingwa huko huko ndani ya chama hadharani.

Hivi sasa CHADEMA itapumua, maana reforms zinaongelewa kule kulle ndani.

Ni kwema mbeleni!

Mungu ibariki nchi YANGU nzuri niipendayo Tanzania 🇹🇿.
Samia kazi anayo
 
Hizi ni drama tu, Gwaji Boy anapata public apraisal, anatemwa na CCM, anajiunga CHAUMMA, Anaenda gombea uraisi kupitia CHAUMMA........Life goes on.
 
Salaam!

Yaani hivi sasa masuala ya utekaji yanapingwa huko huko ndani ya chama hadharani.

Hivi sasa CHADEMA itapumua, maana reforms zinaongelewa kule kulle ndani.

Ni kwema mbeleni!

Mungu ibariki nchi YANGU nzuri niipendayo Tanzania 🇹🇿.
CDM inapunua naninasonga mbele NRNE inaenda kanda ya kaskazini home ground kwa mfalme watu wanenda kuondoka nakijiji huko huko kazi kwenu masisiemu Gwaji amewaongezea assignment nyingine game ndio kwanza mbichi hii
 
Gwaji miuno feni, asifikili tumesahau ile connection yake ya mkono wa baunsa, tutau-upload chap ianze kutrend.
 
Back
Top Bottom