Uchaguzi 2020 CHADEMA itashinda Chato na Majimbo yote ya Geita

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
12,706
Reaction score
52,355
Nimekuwa Geita kikazi nikagundua CCM ilishafutika kabisa kule na Chadema inaweza shinda Jimbo lolote kule .

Kuanzia Bukombe, Geita mjini, Geita vijijini, Sengerema Buchosa hakuna kabisa kitu kinaitwa CCM..

Watu wanasema wazi walimchagua Magufuli kwa kujuwa atawaletea maendeleo na Katiba mpya baada ya kusema Magufuli for change (M4C).

Watu pia wanakazia kwa kusema baada ya kumchagua wakampa na wabunge ili hasiwe na kisingizio ila ni kama vile aliwasaliti..

Baada ya kuwachomea nyavu zao za uvuvi kisa uvuvi haramu na maelfu ya watu kukosa ajira.

Wengine wanasema maendelea yaliyopo Chato mengi hayaleti uhalisia mfano uwanja wa ndege wangapi wanapanda ndege? Hifadhi je wangapi wanapesa za kuingia kwenye hifadhi?

Wanasema kuna shule bado hazina walimu wa kutosha mkoa wa Geita, Hakuna madactari na manesi kwenye hospital ndani ya mkoa.

Pia wanasema bado Kuna tatizo la ulinzi na usalama mkoa wa Geita ambapo matukio ya watu kuuwawa kikatili yanatokea Sana huku polisi wakiwa busy na kuwafunga wakosoaji wa Magufuli na vyama pinzani.

Wanasema duka la MSD madawa yanauzwa Bei sawa na maduka ya dawa na wanufaika wakuu sio wanachi wa chato, Wazee na watoto na wamama bado wanna changamoto ya matibabu.

Wakazi wa chato wanasema sanasana gharama za maisha zimepanda Chato tofauti na zamani kutokana na watu kuamini kwamba Chato sasa Kuna pesa na kuanza kupeleka vitu kwa Bei ya juu.

Hayo ndio niliyoyaona Chato na Geita mtu wao watu wengi hawataki kabisa kumsikia.

Nikipata nauli nitaenda Kagera kule kwenye Tetemeko halikuletwa na Serikali nione uhalisia.
View attachment 1548948
 
Nabii hatambuliki kwao na Nabii wa uwongo kama huyo wao ni zaidi pia anachukuwa kama gonjwa la tauni kwa sababu hasaidii kuratua matatizo ya akijineemesha mwenyewe na watu wake. Wananchi wanahitaji maji, analeta mbuga ya wanyama, uwanja wa ndege, wavuvi kati yao wanataka nyenzo za uvuvi wanaletewa madege ambayo wanayasikia tu maana yanakaa hukohuko anakokaa. Wananchi wanataka waishi kama Watanzania wenzao yeye anawaletea uwanja wa mpira mkubwa kuliko yote Afrika,daraja refu mpaka ziwani, taa za kuongoza magari nk ili waishi kama Ulaya. Lile Bomba la mafuta lilikuwa lipite mkoani vijana wapate ajira, wananchi wapate soko la juhudi zao hawalioni wala kusikia ujio wake labda linakaribia Lamu. Chapa ng'ombe wanafuga kuku pia lakini Nabii ananunua jogoo mbali na kwao kwa bei nzuri akinufaisha wa huko, wampende kwa lipi? SGR labda itakuja siku moja ikiletwa na Nabii mwingine angalau watatumia kusafirisha mifugo yao badala madege.
 
Ccm kifo cha mende!

Sent from my TECNO-N8 using JamiiForums mobile app
1598450077430.png
 
Nimekuwa Geita kikazi nikagundua CCM ilishafutika kabisa kule na Chadema inaweza shinda Jimbo lolote kule .

Kuanzia Bukombe, Geita mjini, Geita vijijini, Sengerema Buchosa hakuna kabisa kitu kinaitwa CCM..

Watu wanasema wazi walimchagua Magufuli kwa kujuwa atawaletea maendeleo na Katiba mpya baada ya kusema Magufuli for change (M4C).

Watu pia wanakazia kwa kusema baada ya kumchagua wakampa na wabunge ili hasiwe na kisingizio ila ni kama vile aliwasaliti..

Baada ya kuwachomea nyavu zao za uvuvi kisa uvuvi haramu na maelfu ya watu kukosa ajira.

Wengine wanasema maendelea yaliyopo Chato mengi hayaleti uhalisia mfano uwanja wa ndege wangapi wanapanda ndege? Hifadhi je wangapi wanapesa za kuingia kwenye hifadhi?

Wanasema kuna shule bado hazina walimu wa kutosha mkoa wa Geita, Hakuna madactari na manesi kwenye hospital ndani ya mkoa.

Pia wanasema bado Kuna tatizo la ulinzi na usalama mkoa wa Geita ambapo matukio ya watu kuuwawa kikatili yanatokea Sana huku polisi wakiwa busy na kuwafunga wakosoaji wa Magufuli na vyama pinzani.

Wanasema duka la MSD madawa yanauzwa Bei sawa na maduka ya dawa na wanufaika wakuu sio wanachi wa chato, Wazee na watoto na wamama bado wanna changamoto ya matibabu.

Wakazi wa chato wanasema sanasana gharama za maisha zimepanda Chato tofauti na zamani kutokana na watu kuamini kwamba Chato sasa Kuna pesa na kuanza kupeleka vitu kwa Bei ya juu.

Hayo ndio niliyoyaona Chato na Geita mtu wao watu wengi hawataki kabisa kumsikia.

Nikipata nauli nitaenda Kagera kule kwenye Tetemeko halikuletwa na Serikali nione uhalisia.
Mh...Radio imegeuza betri inaongea kinyumenyume? Na Buchosa iliyopo Sengerema ni Geita?
 
Umenza lini uganga wa kienyeji?

Geita hapohapo viongozi wa viongozi wa vijana wote wamejiunga CCM leo. Tatizo umekaa kwenye office za CHADEMA.
 
Halitakiwi eti Kwao Sema huwa linashinda kwa vitisho, ubabe na hata vifo....mkumbuke Alphonce Mawazo!
 
Endelea kuota mchana!
 
Nyie critics fake ndio mnafanya upinzani uache kuwekeza vizuri sehemu kama hizi kwa kutowaambia ukweli...unashindwa kuusema ukweli ili viongozi wapige campaign za kutosha..unawahadaa
 
Nimekuwa Geita kikazi nikagundua CCM ilishafutika kabisa kule na Chadema inaweza shinda Jimbo lolote kule .

Kuanzia Bukombe, Geita mjini, Geita vijijini, Sengerema Buchosa hakuna kabisa kitu kinaitwa CCM..

Watu wanasema wazi walimchagua Magufuli kwa kujuwa atawaletea maendeleo na Katiba mpya baada ya kusema Magufuli for change (M4C).

Watu pia wanakazia kwa kusema baada ya kumchagua wakampa na wabunge ili hasiwe na kisingizio ila ni kama vile aliwasaliti..

Baada ya kuwachomea nyavu zao za uvuvi kisa uvuvi haramu na maelfu ya watu kukosa ajira.

Wengine wanasema maendelea yaliyopo Chato mengi hayaleti uhalisia mfano uwanja wa ndege wangapi wanapanda ndege? Hifadhi je wangapi wanapesa za kuingia kwenye hifadhi?

Wanasema kuna shule bado hazina walimu wa kutosha mkoa wa Geita, Hakuna madactari na manesi kwenye hospital ndani ya mkoa.

Pia wanasema bado Kuna tatizo la ulinzi na usalama mkoa wa Geita ambapo matukio ya watu kuuwawa kikatili yanatokea Sana huku polisi wakiwa busy na kuwafunga wakosoaji wa Magufuli na vyama pinzani.

Wanasema duka la MSD madawa yanauzwa Bei sawa na maduka ya dawa na wanufaika wakuu sio wanachi wa chato, Wazee na watoto na wamama bado wanna changamoto ya matibabu.

Wakazi wa chato wanasema sanasana gharama za maisha zimepanda Chato tofauti na zamani kutokana na watu kuamini kwamba Chato sasa Kuna pesa na kuanza kupeleka vitu kwa Bei ya juu.

Hayo ndio niliyoyaona Chato na Geita mtu wao watu wengi hawataki kabisa kumsikia.

Nikipata nauli nitaenda Kagera kule kwenye Tetemeko halikuletwa na Serikali nione uhalisia.

Mkuu wakati unaendelea kutafuta nauli kufika Kagera jiandae pia kisaikolojia:

Barabara ya Rusahunga Rusumo mtaji kwa wagombea

Lissu tembelea Rusahunga - Rusumo haraka iwezekanavyo

Kimsingi kumetelekezwa vilivyo. Haiwezi kuwa zaidi ya hapo.
 
Mimi ninaunga mkono upinzani lakini kiukweli upinzani hauwezi kupata hata kata moja mkoa wa geita Wala wilaya ya sengerema ,yaani miongoni mwa maeneo ambayo CCM itashinda kihalali kabisa ni mkoa wa geita na wilaya ya sengerema yaani Jimbo la buchosa na sengerema mjini
 
Nimekuwa Geita kikazi nikagundua CCM ilishafutika kabisa kule na Chadema inaweza shinda Jimbo lolote kule .

Kuanzia Bukombe, Geita mjini, Geita vijijini, Sengerema Buchosa hakuna kabisa kitu kinaitwa CCM..

Watu wanasema wazi walimchagua Magufuli kwa kujuwa atawaletea maendeleo na Katiba mpya baada ya kusema Magufuli for change (M4C).

Watu pia wanakazia kwa kusema baada ya kumchagua wakampa na wabunge ili hasiwe na kisingizio ila ni kama vile aliwasaliti..

Baada ya kuwachomea nyavu zao za uvuvi kisa uvuvi haramu na maelfu ya watu kukosa ajira.

Wengine wanasema maendelea yaliyopo Chato mengi hayaleti uhalisia mfano uwanja wa ndege wangapi wanapanda ndege? Hifadhi je wangapi wanapesa za kuingia kwenye hifadhi?

Wanasema kuna shule bado hazina walimu wa kutosha mkoa wa Geita, Hakuna madactari na manesi kwenye hospital ndani ya mkoa.

Pia wanasema bado Kuna tatizo la ulinzi na usalama mkoa wa Geita ambapo matukio ya watu kuuwawa kikatili yanatokea Sana huku polisi wakiwa busy na kuwafunga wakosoaji wa Magufuli na vyama pinzani.

Wanasema duka la MSD madawa yanauzwa Bei sawa na maduka ya dawa na wanufaika wakuu sio wanachi wa chato, Wazee na watoto na wamama bado wanna changamoto ya matibabu.

Wakazi wa chato wanasema sanasana gharama za maisha zimepanda Chato tofauti na zamani kutokana na watu kuamini kwamba Chato sasa Kuna pesa na kuanza kupeleka vitu kwa Bei ya juu.

Hayo ndio niliyoyaona Chato na Geita mtu wao watu wengi hawataki kabisa kumsikia.

Nikipata nauli nitaenda Kagera kule kwenye Tetemeko halikuletwa na Serikali nione uhalisia.
What are you smoking?
 
washukuru hata huo uwanja wa ndege uliopo pamoja na mbuga na uwanja wa mpira, sisi wengine hatuna hata kimoja wapo yaani nigiza totoro
 
Back
Top Bottom