GUSSIE
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 3,880
- 11,134
Ni rahisi sana kumtambua ustadhi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anatafuta ugonjwa wa moyo si bure.
unazungumzia urais wakati baada ya uchaguzi mnaweza msipate hata mbunge mmoja.Chadema itashinda urais hata bila tume huru 2020 kama itafanya yafuatayo
1: Kama haitapokea makapi na mafisadi kutoka ccm kuja kugombea.
2: kama watamsimamisha Tundu Lissu kupambana na Magufuli.
3: Kama watawaambia wananchi kulinda kula zao kwa Cost yetote kwenye vituo.
Kama chama kitaamua kufanya siasa kali za hoja na sio soft soft ambazo hazina tija kwa upinzani na wapenda mageuzi kwa ujumla.
Nawaambia Ukweli tumefikia kwenye the point of no return ni either tuchukue dola au tupotee moja kwa moja.
Kipi hatujapitia? wafusi wetu wameuawa, wametekwa wamejeruhiwa na kuwekwa vilema na wengine kufungwa kipi hatujakipitia kuingia barabarani tutapoteza nini?
hakuna muda wa kupoteza twendeni na nguvvu ya umma tunachukua dola mapema sana ila tuteue watu waadilifu, Udiwani Ubunge na Urais. Tume sio kigezo kama ni ivyo Odinga angekuwa rais wa Kenya. Urais ni Timing.
Mke wa marehemu mawazo na watoto wa marehemu chadema inawasaidia nini mpaka sasa?Chadema itashinda urais hata bila tume huru 2020 kama itafanya yafuatayo
1: Kama haitapokea makapi na mafisadi kutoka ccm kuja kugombea.
2: kama watamsimamisha Tundu Lissu kupambana na Magufuli.
3: Kama watawaambia wananchi kulinda kula zao kwa Cost yetote kwenye vituo.
Kama chama kitaamua kufanya siasa kali za hoja na sio soft soft ambazo hazina tija kwa upinzani na wapenda mageuzi kwa ujumla.
Nawaambia Ukweli tumefikia kwenye the point of no return ni either tuchukue dola au tupotee moja kwa moja.
Kipi hatujapitia? wafusi wetu wameuawa, wametekwa wamejeruhiwa na kuwekwa vilema na wengine kufungwa kipi hatujakipitia kuingia barabarani tutapoteza nini?
hakuna muda wa kupoteza twendeni na nguvvu ya umma tunachukua dola mapema sana ila tuteue watu waadilifu, Udiwani Ubunge na Urais. Tume sio kigezo kama ni ivyo Odinga angekuwa rais wa Kenya. Urais ni Timing.
Chadema itashinda urais hata bila tume huru 2020 kama itafanya yafuatayo

Nimelipenda jibu kwa huyu muotaji wa mchanaYou must be empty upstairs
Wanaweza. Magufuli ana damu mikononi Lissu hana.Hahahahaha hivi kweli kwa akili yako wananchi wa kule vijijini wanaweza kumpa kura Lissu wakamuacha Magufuli hahahaha!
Pengine una hasira sana au una furaha sana ndio maana umejikuta unaongea vitu ambavyo hata wewe ukitulia unajua kabisa haiwezekani!
Hahaha
Sema haitotangazwa kuwa imeshinda.CHADEMA itashindwa urais 2020 hata ikiwepo TUME HURU
au macho yangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mimi