Chadema itashinda Urais 2020 hata bila TUME HURU

Hahahahaha hivi kweli kwa akili yako wananchi wa kule vijijini wanaweza kumpa kura Lissu wakamuacha Magufuli hahahaha!

Pengine una hasira sana au una furaha sana ndio maana umejikuta unaongea vitu ambavyo hata wewe ukitulia unajua kabisa haiwezekani!

Hahaha
 
unazungumzia urais wakati baada ya uchaguzi mnaweza msipate hata mbunge mmoja.
 
Tume huru ndio kilochangu Mimi ninaeshinda kwenye foleni na njaa na Kiu mvua na jua halafu mwisho ninakua si mwenye kutoa maamuzi nani kiongozi wangu maamuzi hutolewa na tume ya uchaguzi kwahiyo tangu wanafungua vituo washajua nani atatangazwa mshindi siowangojee ataeshinda ni nani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tume huru sio suluhu ya kila jambo.

wala katiba mpya.

Twende shule kwanza.

Malengo ya Upinzani baada ya kushika dola hayako wazi, hivyo sio watu wanaofaa kwa sasa.
 
Mke wa marehemu mawazo na watoto wa marehemu chadema inawasaidia nini mpaka sasa?

Familia ya Ben saanane chama kinawasaidia nini mpaka sasa?

Hakuna aliye juu ya sheria nchi hii.

Fanyeni siasa za kistaarabu badala ya kuhamasisha wachache wasiojitambua halafu mnaziacha familia zao zikibena mizigo ya matatizo huku wanasiasa mkiendelea kutanua.

Nyeeni debe kwanza ndio mtaanza kampeni kwa adabu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Naomba kuuliza swali 2...
Hivi ninyi huwa ni wapumbav na wajingaa!!!? Mnavyoiona CDM imekaa kitasisi ya kutwaa dola?

Ichukue makap isichukue haiwez kutwaa dola
Asimame Lissu, Membe au wote mchangie kugombea hamuwezi.
Viti vya ubunge vyenyewe kupata 5 majimboni ni bahati mbaya.

Acheni bangi nyie
 
Wanaweza. Magufuli ana damu mikononi Lissu hana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…