DU; jamaa hata huchgangii unauliza nini? mie nachangia kwa moyo mweupe; Ndege hairuki bila mafuta; wajumbe hawatembei bila kula; slaa halali porini; na mengineyo na kwa uekewa wangu chama ni kichanga hakina hela; sina hilo swali maana najua hata mchango wangu bado ni kama kitu kidogo sana; zaidi wakimaliza uchaguzi tutawaulizia na tutaanza na kujipongeza kama washindi wa UFISADI