Chadema ituambie iliwezaje kufuatilia simu ya Ali Kibao?

Ukiwa na barua ya polisi/mahakama unaruhusiwa kupewa taarifa za mtu wako wa karibu kama amepotea n.k. Hata kuna jamaa mara ya mwisho aliwasiliana na mimi then akatoweka. Baada ya siku 2 nikapigiwa simu na polisi kwamba walienda mitandaoni kuomba namba za mwisho kuwasiliana na aliyetoweka. So chadema walipitia legal system kupitia familia.

Na sio kutrack calls, messages au mnara aliopo ili kuwapa wauaji adress ya kumshoot kibao!! Hapo ingekua criminal offense.
 
ALI KIBAO NI MTOTO WA CHADEMA?
Tafadhali Soma na kuelewa "child tracking app' ni mfano tu wa mobile application ambayo unaiweka kwenye simu, (install and configure), kuweza kufuatilia mwenendo wa mtoto wako hata vinginevyo
 
Kaeni kwa kutulia kabisa.. Mtajua hamjuiπŸ˜‚
 
Kweli we jinga lao. badala ya. Mamlaka kufuatilia waliomuua na kuwakamata waliomuua kibao. Mamlaka ziwafuatilie cdm walipataje simu

Dogo kwa hili hata mtoto wa darasa la pili hawezi kukuelewa

Punguza uchawa ili uyaone mambo kwa uhalisia

Pu
 
Tayari kama kawaida yenu.
Agenda iliyopo wanahitajika watu wasiojulikana waliotaka kumuua Lissu. Wawe hai wawe wamekufa tunataka kuwafahamu.
Hii zima moto mnayoitumia ndio imefikia hapa.
Mdogo mdogo mtaelewa.
 
Wauaji sasa hivi mavi yanagonga chupi na kurudi ndani, 40 zenu zimekaribia.
 
Mbona ujasema Boni yai alishasema kuwa njia hakujua mtu yupo wapi kwa kutumia simu yake ni njia Rahisi sana. Na haichui hata Dakika tano unapata details zote huko ktk nchi za wenzetu kama china au Israel na akasema ukiwa narafiku zako nje unawapa tu namba ya mtu unaye taka wakupatie habari zake dakika tano wanskurushia kila kitu.Mimi sioni sababu ya kubumba bumba maswala mazito ya mauaji aidha Serikali ikitaka ichunguze ksma halina tija kwa taifa iache. Mbona swala la Lisu serikali imekaa kimya na watu hawajafanya kitu hata hili wanaweza wakalinyamazia nalikapita pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…