Chadema ituambie iliwezaje kufuatilia simu ya Ali Kibao?

Hivi karibuni tulisikia namna chadema walivyotoa taarifa kuhusu ufuatiliaji wa simu ya Ali Kibao na wakatoa hadi namba ziliziwasiliana naye mara ya mwisho.

Je, utaalamu huu wa kufuatilia simu wameutoa wapi?
Je, katika tukio la lisu hawakuhusika kufuatilia pia?
Wameupata Tigo Milicom
 
Mbona ujasema Boni yai alishasema kuwa njia hakujua mtu yupo wapi kwa kutumia simu yake ni njia Rahisi sana. Na haichui hata Dakika tano unapata details zote huko ktk nchi za wenzetu kama china au Israel na akasema ukiwa narafiku zako nje unawapa tu namba ya mtu unaye taka wakupatie habari zake dakika tano wanskurushia kila kitu.Mimi sioni sababu ya kubumba bumba maswala mazito ya mauaji aidha Serikali ikitaka ichunguze ksma halina tija kwa taifa iache. Mbona swala la Lisu serikali imekaa kimya na watu hawajafanya kitu hata hili wanaweza wakalinyamazia nalikapita pia.
Na baadae likaibuliwa
 
Hivi karibuni tulisikia namna chadema walivyotoa taarifa kuhusu ufuatiliaji wa simu ya Ali Kibao na wakatoa hadi namba ziliziwasiliana naye mara ya mwisho.

Je, utaalamu huu wa kufuatilia simu wameutoa wapi?
Je, katika tukio la lisu hawakuhusika kufuatilia pia?
Ya Lissu ilikuwa LIVE ACCESS ambapo mtandao husika unakupatia hiyo LIVE ACCESS. Hii ya akina Mbowe hata Cyber Crime pale polisi unapata kwamba namba zipi ziliwasiliana na na namba husika hiyo ni rahisi.
 
Kuna mwamba anaitwa Nyarinjo kicheere anaweza kujibu swali hili vizuri
 
Hivi karibuni tulisikia namna chadema walivyotoa taarifa kuhusu ufuatiliaji wa simu ya Ali Kibao na wakatoa hadi namba ziliziwasiliana naye mara ya mwisho.

Je, utaalamu huu wa kufuatilia simu wameutoa wapi?
Je, katika tukio la lisu hawakuhusika kufuatilia pia?
Kasome IT. Hayo Mambo yanawezekana kwa wenye elm husika.
Hata mume wako akitaka kufuatilia simu yako mpaka sms unazopata anaweza, labda tu hajataka.
Sawa jingalao?
 
Hivi karibuni tulisikia namna chadema walivyotoa taarifa kuhusu ufuatiliaji wa simu ya Ali Kibao na wakatoa hadi namba ziliziwasiliana naye mara ya mwisho.

Je, utaalamu huu wa kufuatilia simu wameutoa wapi?
Je, katika tukio la lisu hawakuhusika kufuatilia pia?
Sasa kama waiipata simu yake na zikaangaliwa dialed calls. Ama watekaji waliambaa na simu?
 
Ktk kudhuriwa kila mtu atakusaidia aliekuwa mwema. Ktk kudhuru mtu hutakiwi umsaidie mtu kumdhuru mtu, ukimuona mtu anamsaidia kumdhuru mtu huyo mtu muogope sana
 
Hivi karibuni tulisikia namna chadema walivyotoa taarifa kuhusu ufuatiliaji wa simu ya Ali Kibao na wakatoa hadi namba ziliziwasiliana naye mara ya mwisho.

Je, utaalamu huu wa kufuatilia simu wameutoa wapi?
Je, katika tukio la lisu hawakuhusika kufuatilia pia?
we punguani.
unauliza maswali ya ukichaa.
kwani huyo mzee kibao si alikuwa mwanachama wao na alikuwa ana share mambo yake na viongozi wenzake.
kwani mbowe aliwezaje kumfahamu Shetani Mafwele
 
Hivi karibuni tulisikia namna chadema walivyotoa taarifa kuhusu ufuatiliaji wa simu ya Ali Kibao na wakatoa hadi namba ziliziwasiliana naye mara ya mwisho.

Je, utaalamu huu wa kufuatilia simu wameutoa wapi?
Je, katika tukio la lisu hawakuhusika kufuatilia pia?
Kweli kabisa na watuambie bwashee
 
Hivi karibuni tulisikia namna chadema walivyotoa taarifa kuhusu ufuatiliaji wa simu ya Ali Kibao na wakatoa hadi namba ziliziwasiliana naye mara ya mwisho.

Je, utaalamu huu wa kufuatilia simu wameutoa wapi?
Je, katika tukio la lisu hawakuhusika kufuatilia pia?

c0f1c8d9-0b57-4d19-9594-6407dc4b22a4.jpg

Jibu hilo hapo kiongozi
 
Back
Top Bottom