Imeelezwa mara nyingi kuwatofautisha wajumbe JF na vyama vya siasa.
Kama ilivyo kwa vyama vingine, CHADEMA ni taasisi kubwa yenye kuendesha shughuli zake rasmi ofisini na siyo mitandaoni chini ya wajumbe fake.
Ikumbukwe kuwa CHADEMA imekuwa mshirika wa dhati wa wananchi dhidi ya Corona. CHADEMA haijawahi kuwa na la kufanya na porojo zozote kuhusiana na ugonjwa huu zilizopelekea vifo vya wengi pasipo kuwa na sababu.
Chadema imekuwa ikipendekeza umuhimu wa kuchukua hatua za msingi katika kuyalinda maisha ya watu ikiyapigia mfano mataifa ya Rwanda au Uganda. Katika nchi hizo chanjo si hiari kwa usalama wa maisha yao dhidi ya ujinga wao.
Hadi pale wananchi wanaotaka watakapokuwa wamepata chanjo (zoezi linalotarajiwa kuchukua wiki chache), Corona inaendelea kuwa kipaumbele dhidi ya katiba mpya na dhidi ya yote.
Hata hivyo ni wazi kuwa CHADEMA inaamini:
1. Jitihada za kudai katiba mpya ni halali na zitaendelea kama zilivyoanza.
2. Mwenyekiti Mbowe anashikiliwa kisiasa, akibambikiziwa kesi isiyomhusu.
3. Jitihada za kudai katiba mpya zitakuwa na gharama za kulipa hata kubwa zaidi ya kuliko tulizokwisha zishudia.
4. inayatambua mazingira halisi inamofanyia harakati zake. Umoja wetu ndiyo iliyo silaha pekee ya kujilinda na pia kuleta ushindi.
5. wanachama wake na wapenda haki wote wanao utayari wa kuipigania haki kwa gharama yoyote.
Ifahamike hapa kuwa Chadema inafanya shughuli zake kwenye mipangilio yake. Chadema inauelewa uwanja huo vilivyo. Haijastushwa na lolote hadi sasa.
Kimsingi Chadema iko vizuri.