CHADEMA: Jahazi liko imara pasi na kutetereka

CHADEMA: Jahazi liko imara pasi na kutetereka

Haya ndio madhara ya kuhodhi madaraka ya chama.

Mwenyekiti yupo ndani chama kizima kimeparslyze.
 
Isije kuwa hamna njia NYINGINE ya kujipatia kipato kama ndivyo basi naona mapambano yatakuwa makali sana afe kipa au beki.

Tatizo mapambano ya kutafuta Demokrasia yanapovunja Demokrasia ni mbaya zaidi kwani kwa macho ya kawaida tunaona maslahi binafsi yamepewa kipau mbele.

Demokrasia yavunjwa vipi kwa kudai demokrasia? Jiridhishe kuwa hujaandika kichina tafadhali.

Kutohitaji wewe mabadiliko hakuna maana wengine Hawahitaji. Busara kama wewe huhitaji si sahihi kuwataka wanaoihitaji wasihitaji kama wewe.

Kwamba huhitaji, basi si unacho? Huoni ni busara na wasio nacho wakipate?

Ni sawa na asiyetaka kuchanjwa kushawishi na wengine wasichanjwe. Kwani inamhusu nini? Ama!
 
liko imara wapi leo mnyika anajambajamba tu kuongea na wandishi wameshaishiwa pozi taryari

Vipi akili ilishakurudia?

Mambo yamekwisha wiva.
 
Imeelezwa mara nyingi kuwatofautisha wajumbe JF na vyama vya siasa.

Kama ilivyo kwa vyama vingine, CHADEMA ni taasisi kubwa yenye kuendesha shughuli zake rasmi ofisini na siyo mitandaoni chini ya wajumbe fake.

Ikumbukwe kuwa CHADEMA imekuwa mshirika wa dhati wa wananchi dhidi ya Corona. CHADEMA haijawahi kuwa na la kufanya na porojo zozote kuhusiana na ugonjwa huu zilizopelekea vifo vya wengi pasipo kuwa na sababu.

Chadema imekuwa ikipendekeza umuhimu wa kuchukua hatua za msingi katika kuyalinda maisha ya watu ikiyapigia mfano mataifa ya Rwanda au Uganda. Katika nchi hizo chanjo si hiari kwa usalama wa maisha yao dhidi ya ujinga wao.

Hadi pale wananchi wanaotaka watakapokuwa wamepata chanjo (zoezi linalotarajiwa kuchukua wiki chache), Corona inaendelea kuwa kipaumbele dhidi ya katiba mpya na dhidi ya yote.

Hata hivyo ni wazi kuwa CHADEMA inaamini:

1. Jitihada za kudai katiba mpya ni halali na zitaendelea kama zilivyoanza.
2. Mwenyekiti Mbowe anashikiliwa kisiasa, akibambikiziwa kesi isiyomhusu.
3. Jitihada za kudai katiba mpya zitakuwa na gharama za kulipa hata kubwa zaidi ya kuliko tulizokwisha zishudia.
4. inayatambua mazingira halisi inamofanyia harakati zake. Umoja wetu ndiyo iliyo silaha pekee ya kujilinda na pia kuleta ushindi.
5. wanachama wake na wapenda haki wote wanao utayari wa kuipigania haki kwa gharama yoyote.

Ifahamike hapa kuwa Chadema inafanya shughuli zake kwenye mipangilio yake. Chadema inauelewa uwanja huo vilivyo. Haijastushwa na lolote hadi sasa.

Kimsingi Chadema iko vizuri.
Tuko pamoja. Tuko kwenye Safe mode sahizi. Wasidhani hatupo wanajidanganya. Chadema ni imani
 
Haya ndio madhara ya kuhodhi madaraka ya chama.

Mwenyekiti yupo ndani chama kizima kimeparslyze.

Yaani chama kimekupata? Chadema haikuhitaji wewe hata kwa mkopo.

Paralysis = Stroke.

Hiiiiii bagosha 😂😂😂😂 ! Acha utani wewe.

Kawaulize ukipenda: Sirro, Chongolo, Shaka, zandrano au hata Mama mzazi uone, hawatakubaliana nawe.
 
Mnajifariji tu moyoni nafsi inawasuta.
Kumkaribisha LOWASA(mkiyedai fisadi)ndio uimara!?
KUBWAGWA na diamond ndio uimara!?
Wale wadada 19 kule bungeni wamewavua nguo au ule ndio uimara!?
LISSU kuishi uhamishoni nao ule ni uimara!?
MBOWE kulewa na kusingizia kapigwa ule nao!?
Kuambulia MBUNGE 1 nchi nzima na ule tuuite uimara!!!??

NB:MIMI NI TIMU MAGUFULI JANA,LEO,KESHO NA HATA MILELE

Hujui uimara ulipo? Uko hapa:

IMG_20210728_134628_357.jpg

Atasikia sawa sawa nusu nusu hailipi.
 
Chadema lazima iangaliwe kwa jicho la tatu, kama mwenyekiti wa chama alikuwa Katili wa kupanga mauaji ya watu wengine, je hao walio chini yake na wafuasi aliwafundisha kitu gani kama sio uhalifu na ujambazi?! inawezekana sio wote lkn baadhi yao lazima wafuatiliwe ili kubaini matendo yao na wachukuliwe hatua kali za kisheria.
Tunamshauri Msajili wa Vyama vya siasa afute huu mkusanyiko wa wahalifu walio jificha kwenye mwamvuli wa chama cha kisiasa.
Amani ya nchi yetu lazima italindwa kwa gharama yoyote ile, hatuko kuona kikundi cha watu wachache kinajaribu kuchezea amani ya nchi yetu.
kamwe hato chekewa mtu yeyote.

Usiache kumkumbusha Msajili kuwa waliokuwa kina Ben, Azory, Mawazo na wengine wa kwenye viroba walikuwa hai kama wewe na yeye.

Ukimfikishia na taarifa hizi:

Itapendeza zaidi.

Lingine la msingi washauri kuandaa stadiums kama magereza. Waambie tumechoka kweli kweli.
 
Imeelezwa mara nyingi kuwatofautisha wajumbe JF na vyama vya siasa.

Kama ilivyo kwa vyama vingine, CHADEMA ni taasisi kubwa yenye kuendesha shughuli zake rasmi ofisini na siyo mitandaoni chini ya wajumbe fake.

Ikumbukwe kuwa CHADEMA imekuwa mshirika wa dhati wa wananchi dhidi ya Corona. CHADEMA haijawahi kuwa na la kufanya na porojo zozote kuhusiana na ugonjwa huu zilizopelekea vifo vya wengi pasipo kuwa na sababu.

Chadema imekuwa ikipendekeza umuhimu wa kuchukua hatua za msingi katika kuyalinda maisha ya watu ikiyapigia mfano mataifa ya Rwanda au Uganda. Katika nchi hizo chanjo si hiari kwa usalama wa maisha yao dhidi ya ujinga wao.

Hadi pale wananchi wanaotaka watakapokuwa wamepata chanjo (zoezi linalotarajiwa kuchukua wiki chache), Corona inaendelea kuwa kipaumbele dhidi ya katiba mpya na dhidi ya yote.

Hata hivyo ni wazi kuwa CHADEMA inaamini:

1. Jitihada za kudai katiba mpya ni halali na zitaendelea kama zilivyoanza.
2. Mwenyekiti Mbowe anashikiliwa kisiasa, akibambikiziwa kesi isiyomhusu.
3. Jitihada za kudai katiba mpya zitakuwa na gharama za kulipa hata kubwa zaidi ya kuliko tulizokwisha zishudia.
4. inayatambua mazingira halisi inamofanyia harakati zake. Umoja wetu ndiyo iliyo silaha pekee ya kujilinda na pia kuleta ushindi.
5. wanachama wake na wapenda haki wote wanao utayari wa kuipigania haki kwa gharama yoyote.

Ifahamike hapa kuwa Chadema inafanya shughuli zake kwenye mipangilio yake. Chadema inauelewa uwanja huo vilivyo. Haijastushwa na lolote hadi sasa.

Kimsingi Chadema iko vizuri.
To crown it all; it is the only patriotic party.
 
Back
Top Bottom