CHADEMA jiandaeni kisaikolojia Leo. hamtaamini kitakachotokea Kwenye kuhitimisha Mkutano Mkuu Maalumu wa CCM Dodoma. Mtalia Sana Leo

Hakuna chenye mwanzo kikakosa kuwa na mwisho, hata tamu hukinai,ngoma ikilia sana hupasuka, hiyo yote ni misemo ya wahenga sasa wewe mliwa ule endelea kujifaliji
 
Kuna Nyumbu wanahamia CCM bila shaka kutoka CDM
 
Hakuna mwenye ubavu wala uwezo wa kuweza kushindana na Rais Samia katika sanduku la kura. Rais Samia ni kama maji usipoyanywa utayaoga tuuu. Huyu Mama ni Mpango wa Mungu Mwenyewe
Ni kweli hata mimi najua hilo kwamba Raise ni yeye kama akiruka viunzi vyote!!

Maamuzi ya leo ni kukurupuka pale Dodoma!nadhani michakato ya chadema ndio mchezo uliosukwa Ili kumuingiza kingi!!

Sasa ni rasmi kampeni zitaanza kabla ya uchaguzi ,pia mpangokazi was kampeni unaenda kuundwa na kuwa tagert mapema kabla ya Muda !!yaani kuanzia meneja kampeni Hadi team nzima inaenda kuwa tagert ya magenge Fulani ya kambi tofauti tofauti!!

Namshukuru Mungu kwamba angalau Nina ubongo Ili kuchakata matukio !

Hivyo nawaza kama kawaida yangu!!

Yaani unaingizwa uwanjani ili wakukwamishe wale unaowategemea kukuvusha waanze kuwashughulikia mapema !!!

Ngoja nione kama dhahania zangu ni sahihi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…